John Paul The Second
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 298
- 343
Baba LevoKigoma pamoja na machawa wengi bado Ina watu wazuri
Mwijaku😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba LevoKigoma pamoja na machawa wengi bado Ina watu wazuri
Kama ni kweli jamaa Yuko vizuri ila wabongo tunadanganyana sanaNdugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni CHuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David Kafulila ni CHuma ambacho husaga uozo wowote ulio mbele yake .Ni mtu aliyenyooka kama rula ambaye huwezi kumpindisha kwa vihela vyako vya rushwa au hongo.
Sasa nisiwashoshe .ipo hivi jamaa alipoingia Mkoani Simiyu alikuta kuna barabara inajengwa na Mkandarasi,ambapo baada ya kuikagua akagundua kuwa ipo chini ya kiwango na haiwezi kudumu kwa muda mrefu ,na hivyo italeta hasara kwa serikali kwa kuanza kuirudia kwa gharama na kodi za watanzania wanyonge.
Baada ya kugundua uozo huo uliofanywa na Mkandarasi ,alitoa amri kali na maagizo mazito kwa mkandarasi kwa kumtaka arudie barabara hiyo ya urefu wa KM 20 inayogharimu takriban Billion 40 kwa gharama zake mwenyewe Mkandarasi na ikamilike kwa ubora unaohitajika na kwa wakati muafaka. Maagizo hayo yalitekelezwa haraka sana na mkandarasi kurudia ujenzi kwa gharama zake na kuwa fundisho kwa wakandarasi wengine.
Hii maana yake nini ndugu zangu? Hii inamaanisha kuwa kama barabara hiyo ingepokelewa katika ubovu wake huohuo, maana yake ingeshuhudiwa mvua kidogo tu ikinyesha barabara inaanza kukatika na kumomonyoka kila sehemu,lakini pia ingeshuhudiwa barabara hiyo ikianza kuwa na mimashimo mashimo kila sehemu na hivyo kusababisha hata ajali za barabarani.
Lakini kubwa na baya ni kuwa serikali yetu ingeingia hasara ya kuanza kutoa pesa zingine mamilioni kwa mamillioni kurudia na kurekebisha barabara hiyo .pesa ambazo zingeweza kutumika kujenga miradi mingine kama vile shule,vituo vya afya, zahanati,ununuzi wa madawa na vifaa tiba, usambazaji wa maji safi na salama n.k.
Lakini Chuma Kafulila kwa uzalendo wake na unyoofu wake kimaadili na uaminifu wake kwa Taifa letu akaokoa gharama hizo na pesa hizo. Hii ndio maana tunasema hiki chuma ni habari nyingine,ni CHuma cha moto kwelikweli ambacho hakijawahi kuwa na huruma na mafisadi,wezi na wala rushwa.
Hii ndio maana nampongeza na kumuunga sana mkono Mh kafulila.ndio maana natamani kuona akirejea Bungeni hapo Mwakani,ndio maana nina kiu ya kuona akiendelea kuwepo Serikalini kwa kuwa chochote kinachokuwa chini yake na mikononi mwake kinakuwa kipo mahali salama na penye usalama,tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Naweka kalamu yangu chini ili andiko lisiwe refu kupita kiasi hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa watanzania ni watu wavivu sana katika kusoma vitu na ndio maana ukitaka kumuibia mtanzania basi muwekee jambo hilo katika maandishi na mahali pa kusaini.uone namna atakavyo saini haraka haraka bila kujuwa kilicho andikwa.halafu kesho unaona hata yeye anaanza kushangaa na kutoa macho anapo ambiwa kile alichokisaini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hata Mimi namashaka na hizi Sifa za huyu Chawa Pro Max Lucas MwashambwaKama ni kweli jamaa Yuko vizuri ila wabongo tunadanganyana sana
Nikweli hiyo taarifa iko sana Simiyu,Hata Mimi namashaka na hizi Sifa za huyu Chawa Pro Max Lucas Mwashambwa
Ushahidi uko wapi?Nikweli hiyo taarifa iko sana Simiyu,
Ila wachina sio watu wazuri lazima kuwa nao makini wanafanya ujenzi.
Ratio ya Sementi wanaweka kidogo
Nasikia jamaa aliwasukuma ndani
Muulize mleta madaUshahidi uko wapi?
Ushahidi uko wapi?
Nataka kukutana na kufanya Mazungumzo na Kafulila mleta mada naomba connection![]()
Kafulila azuia malipo kwa mkandarasi CHICCO
www.diramakini.co.tz
Mkuu, ni akina nani hao unaowalenga na huu ujumbe wako? Ebu wataje baadhi ili na sisi tuwajue na tuwaogope kama ukoma.tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Huu Usajili wa faida bado tunasubiri Usajili wa Peter Msigwa soonNdugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kuogopa wala kupoozwa wala kuangalia ni nani anayepambana naye au aliye mbele yake.
Chuma David Kafulila ni CHuma ambacho husaga uozo wowote ulio mbele yake .Ni mtu aliyenyooka kama rula ambaye huwezi kumpindisha kwa vihela vyako vya rushwa au hongo.
Sasa nisiwashoshe .ipo hivi jamaa alipoingia Mkoani Simiyu alikuta kuna barabara inajengwa na Mkandarasi,ambapo baada ya kuikagua akagundua kuwa ipo chini ya kiwango na haiwezi kudumu kwa muda mrefu ,na hivyo italeta hasara kwa serikali kwa kuanza kuirudia kwa gharama na kodi za watanzania wanyonge.
Baada ya kugundua uozo huo uliofanywa na Mkandarasi ,alitoa amri kali na maagizo mazito kwa mkandarasi kwa kumtaka arudie barabara hiyo ya urefu wa KM 20 inayogharimu takriban Billion 40 kwa gharama zake mwenyewe Mkandarasi na ikamilike kwa ubora unaohitajika na kwa wakati muafaka. Maagizo hayo yalitekelezwa haraka sana na mkandarasi kurudia ujenzi kwa gharama zake na kuwa fundisho kwa wakandarasi wengine.
Hii maana yake nini ndugu zangu? Hii inamaanisha kuwa kama barabara hiyo ingepokelewa katika ubovu wake huohuo, maana yake ingeshuhudiwa mvua kidogo tu ikinyesha barabara inaanza kukatika na kumomonyoka kila sehemu,lakini pia ingeshuhudiwa barabara hiyo ikianza kuwa na mimashimo mashimo kila sehemu na hivyo kusababisha hata ajali za barabarani.
Lakini kubwa na baya ni kuwa serikali yetu ingeingia hasara ya kuanza kutoa pesa zingine mamilioni kwa mamillioni kurudia na kurekebisha barabara hiyo .pesa ambazo zingeweza kutumika kujenga miradi mingine kama vile shule,vituo vya afya, zahanati,ununuzi wa madawa na vifaa tiba, usambazaji wa maji safi na salama n.k.
Lakini Chuma Kafulila kwa uzalendo wake na unyoofu wake kimaadili na uaminifu wake kwa Taifa letu akaokoa gharama hizo na pesa hizo. Hii ndio maana tunasema hiki chuma ni habari nyingine,ni CHuma cha moto kwelikweli ambacho hakijawahi kuwa na huruma na mafisadi,wezi na wala rushwa.
Hii ndio maana nampongeza na kumuunga sana mkono Mh kafulila.ndio maana natamani kuona akirejea Bungeni hapo Mwakani,ndio maana nina kiu ya kuona akiendelea kuwepo Serikalini kwa kuwa chochote kinachokuwa chini yake na mikononi mwake kinakuwa kipo mahali salama na penye usalama,tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Naweka kalamu yangu chini ili andiko lisiwe refu kupita kiasi hasa kwa kuzingatia ukweli kuwa watanzania ni watu wavivu sana katika kusoma vitu na ndio maana ukitaka kumuibia mtanzania basi muwekee jambo hilo katika maandishi na mahali pa kusaini.uone namna atakavyo saini haraka haraka bila kujuwa kilicho andikwa.halafu kesho unaona hata yeye anaanza kushangaa na kutoa macho anapo ambiwa kile alichokisaini.
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ametoa mfano tu kuwa na akili za kutoshaMkuu, ni akina nani hao unaowalenga na huu ujumbe wako? Ebu wataje baadhi ili na sisi tuwajue na tuwaogope kama ukoma.
Kumbe watu mnawajua wanaotuumiza na hamsemi ?!
Kazi nzuri Crde Kafulila endelea mbeleNdugu zangu Watanzania,

Kama kuna Usajili CCM imewahi kuufanya katika Taifa hili basi wa huyu kijana.Ndugu zangu Watanzania,

Mbona ndoa imekwama!?Kama kuna Usajili CCM imewahi kuufanya katika Taifa hili basi wa huyu kijana.
Huwezi msikia kwenye skendo yoyote ya up pigaji tangu akiwa Mbunge mpaka Leo sijui nani huko.
CCM tumtunzeni huyo jamaa atatuwasaidia siku moja.
Siwezi kujadili mambo ya ndoa ya mtu,tafadhali sanaMbona ndoa imekwama!?
Au ndio mganga hajigangi?
Kama familia tu inazingua vipi kuongoza Jimbo ataweza?Siwezi kujadili mambo ya ndoa ya mtu,tafadhali sana
Ata Mkapa hakuwa na ndoa ila aliongoza Taifa Vizuri tuKama familia tu inazingua vipi kuongoza Jimbo ataweza?
Achana na Mkapa tuzungumzie huyu Kafulila alinyanga'nywa mke hivi hiviAta Mkapa hakuwa na ndoa ila aliongoza Taifa Vizuri tu
Kanyang'anywa na nani mke?Achana na Mkapa tuzungumzie huyu Kafulila alinyanga'nywa mke hivi hivi