David Kafulila ni Mkuu wa Mkoa Pekee Nchini ambaye amewahi kumpa Amri Mkandarasi kurudia Barabara kwa gharama zake

Kama ni kweli jamaa Yuko vizuri ila wabongo tunadanganyana sana
 
Nikweli hiyo taarifa iko sana Simiyu,
Ila wachina sio watu wazuri lazima kuwa nao makini wanafanya ujenzi.

Ratio ya Sementi wanaweka kidogo
Nasikia jamaa aliwasukuma ndani
Ushahidi uko wapi?
 
tofauti na wengine ukiwakabidhi nafasi fulani wanaigeuza kuwa mrija wa kufyonza pesa na kodi za watanzania kama mchwa wenye njaa .
Mkuu, ni akina nani hao unaowalenga na huu ujumbe wako? Ebu wataje baadhi ili na sisi tuwajue na tuwaogope kama ukoma.
Kumbe watu mnawajua wanaotuumiza na hamsemi ?!
 
Huu Usajili wa faida bado tunasubiri Usajili wa Peter Msigwa soon
 
Kazi nzuri Crde Kafulila endelea mbele
 
Kama kuna Usajili CCM imewahi kuufanya katika Taifa hili basi wa huyu kijana.
Huwezi msikia kwenye skendo yoyote ya up pigaji tangu akiwa Mbunge mpaka Leo sijui nani huko.
CCM tumtunzeni huyo jamaa atatuwasaidia siku moja.
 
Mbona ndoa imekwama!?
Au ndio mganga hajigangi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…