David Kafulila: Utajiri wa taifa lolote duniani si vitu, ni ubora wa watu wake

Mbagala ya watu kuingilia dirishani kugombania magari Vs Mbagala ya watu kupanda mwendokasi yenye full air condituon,Unasemaje hapo Kafulila,ubora wa watu kuliko ubora wa vitu?
Kwenye Mwendokasi full kiyoyozi na kama watu wanatetemeka kutokana na njaa !
Hapo inakuwaje ?! 😁
 
Naomba kuchangia kwenye Bandiko hili gena kwa hoja nzito.
Kwanza kabisa na kwa maoni yangu, taasisi hizi za usimamizi na tathmini nyingi zitaendelea kutoa kauli za kulalamika na kunung'unika kila kukicha kutokana na mfumo mbovu wa utawala wa nchi.

Naomba kuweka maoni yangu ya pendekezo la katiba lenye muundo bora kabisa wa utawala wa taifa.
Katika tovuti ya www.katibampya.com kuna rasimu ya katiba yenye muundo wa dola lenye mihimili minne ya kitaifa, yaani.
1. Baraza la usimamizi wa taifa
2. Serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania
3. Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
4. Mahakama ya jamhuri ya muungano wa tanzania

Kwenye orosha hii ya mihimili kilichoongezeka ni baraza la usimamizi wa taifa na kwa mujibu wa ibara ya 98 mbaka 116 ya rasimu ya katiba kwenye tovuti tajwa, Baraza ndio mhimili wa usimamizi wa misingi yote ya taifa, mamlaka ya kimuungano kati ya tanganyika na zanzibar kwa kuwepo kwa wawkilishi wa Pande zote. Yaani.
1. Baraza la mapinduzi zanzibar
2. Tanganyika social council
Hizi ni taasisi za uwakilishi wa baraza hasa kulishauri baraza katika jambo linaitaji ushauri wa kitaifa.

Baraza pia ndio mamlaka ya taifa ya kutoa tathmini zote za kitaifa, mlinzi wa demokrasia ya taifa, maadili na muongozo kwa mujibu wa sheria ya usimamizi wa taifa.

Haya ninayoyasema hapa ni sehenu ndogo tu ya majukumu, mipaka na mamlaka ya Baraza, na kama utaitaji kusoma rasimu hiyo basi baraza limetamkwa kuanzia ibara ya 98 mbaka 116 katika SURA YA NNE ya rasimu hiyo ya katiba.

Soma, shiriki na wengine, chambua na toa hoja zako kuhusu rasimu hiyo ya katiba
 
Basi kama hivyo ndivyo,Tanzania ni taifa maskini zaidi duniani kwani ubora wa watu wake ni wizi, ufisadi,uvivu,kutokufikiri,kujali wala kutokutaka kufanya KAZI ya kutumika akili ama kutoka jasho.
 
UN wananzisha worldwide ranking inayohusu human resource, unaweza kukuta lets say Mchina mmoja anavyochapa kazi ni sawa na waTz 7
 
Asante cde
 
Kati ya mtu na kitu cha kwanza ni kipi?
 
Vijana wa Kafulila wakishatumiwa hela ya kula wanajaa humu kupandisha nyuzi
 
Unahoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…