David Kafulila: Utajiri wa taifa lolote duniani si vitu, ni ubora wa watu wake

Sasa hii iweke kinyume chake
 
Sasa hii iweke kinyume chake
Hicho kinyume ni mtizamo wako wewe siyo wangu. Msimamo wangu ni kwamba hakuna maendeleo ya watu bila maendeleo ya vitu. Leo watu wanaugua saratani wakienda zahati au vituo vya afya wanaambia hakuna ugonjwa. Maisha yao yanakuwa hovyo kwa sababu zahanati hazina vifaa bora (vitu) vya kupima magonjwa kama kansa. Hivi huyo mtu mwenye saratani utasema ana maisha bora?

Mimi najua umuhimu wa vitu katia ubora wa maisha ya watu, nyie ambao mnaamini kinyume chake endeleeni na mtizamo wenu.
 
Ipo hivyo dubia yote
 
Tunakuelewa vizuri
 
Ni kweli, Utajiri wa taifa lolote duniani haupimwi kwa wingi wa mali na rasilimali zake, bali kwa ubora wa watu wake; kwa sababu watu wenye maarifa, ujuzi, afya, nidhamu na ubunifu ndio huibadilisha rasilimali kuwa maendeleo na kujenga uchumi imara.
 
Tufanye kazi kwa bidii,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…