Hapa Bongo tuna nmb Mwanamke na CRDB Mwanaume,Kafulila ebu type taarifa hiyo ya mara kumi zaidi ya CRDB .
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka MITATU ya Urais lakini hayuko Mtanzania mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
#Samia Mitano Tena,
Ndio maana wahuni wana waliharibia jeshi la Polisi kwenye kubambikia kesi watu, na dipipi kukosa uwelediTuende mbele turudi nyuma Wanawake bado ni waadilifu sana,
Nadhani Kafulila Yuko sahihi
Sio KweliJamaa anatafuta maandiko ya kumchota mama akili. Huu uchawa, hakuna jina lingine
Samia oyee
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka MITATU ya Urais lakini hayuko Mtanzania mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
#Samia Mitano Tena,
Jiongelee wewe , honest gentlemens waliotulia wapo, tabia zako usibebeshe wengineNikweli wanaume sisi ni wezi sana,
Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,
Unataka gari zuri mwanamke akuone,
Ukajenge kijijini,
Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Wanaume vicheche sana hata hivyoNikweli wanaume sisi ni wezi sana,
Unakuta mtu anamichepuko 6 karibu Kila mkoa,
Unataka gari zuri mwanamke akuone,
Ukajenge kijijini,
Wanaume sisi ni wizi wizi wizi
Lakini sisi ndio tunawahongaJiongelee wewe , honest gentlemens waliotulia wapo, tabia zako usibebeshe wengine
Sio Mama tu kawachota akili wanawake wote akiwemo mke wakeJamaa anatafuta maandiko ya kumchota mama akili. Huu uchawa, hakuna jina lingine
Wanawake dawa yao ni kuwasifia tu mengine wanapambana waoSio Mama tu kawachota akili wanawake wote akiwemo mke wake
Hakuna chochote wanawake ni watu dhaifu sana hasa kwa wanaume
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
View attachment 2931206
View attachment 2931263View attachment 2931265
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka MITATU ya Urais lakini hayuko Mtanzania mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anaweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda labda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari.
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama Wanaume.
#Samia Mitano Tena,
Kwanini wasipewe wakati Leo hadi Rais ni mwanamke?Wanawake wasipewe nafasi kubwa katika jamii
Wewe ni mwanamke au mwanaume?Hii ni habari ya Kweli kabisa wanaume majizi sana
Wewe taarifa ulizonazo ndio hizo?Angemuachia Jesca Kishoa awe kichwa cha familia yake hiyo ndoa yao isingekufa bila shaka!