Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Kwani hili andiko kaandika Leo?Kwani huyu lazima kila siku aandike kitu? Siku zingine atuache tupumue, kimsingi tumemchoka na uchawa wake.

View attachment 3264362
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.
#Mwanamke Samia Mitano Tena,
===
Ujue nchi masikini ndo huendekeza gender equality maana wanawake wao asilimia 100 akili ndogo.Huyu mjinga atuwekee serikali za Marekani, Urusi na Israel
Kule ni uwezo wako ndiyo unakuweka kwenye kitengo, wanawake huku ni ngono, rushwa na ushirikinaUjue nchi masikini ndo huendekeza gender equality maana wanawake wao asilimia 100 akili ndogo.
Huwezi kuta nchi za ulaya zinahubiri gender equality maana kule elimu ni bora.
Daaah Mzee!! amani iwe nawe.Kule ni uwezo wako ndiyo unakuweka kwenye kitengo, wanawake huku ni ngono, rushwa na ushirikina
Pamoja comradeDaaah Mzee!! amani iwe nawe.
Kumbe na wewe ni ComredyPamoja comrade
Wanawake wanazingua sana hasa kwenye swala la kujipigania wao kama waoKwa hiyo tufanyeje?
YapKumbe na wewe ni Comredy
CHADEMA wanaitana kamanda so Comredy
Kafulila apewe Uwaziri atalifaa sana Taifa na Samia take it from meView attachment 3264362
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.
#Mwanamke Samia Mitano Tena,
===
Wanawake ni pamoja na Mama Samia,View attachment 3264362

Kafulila ni mtu wa muhimu sana kwenye hili TaifaView attachment 3264362

Samia temaView attachment 3264362

ANDIKO LANGU BORA HILIView attachment 3264362

Ni zuriANDIKO LANGU BORA HILI