David Kafulila: Wanawake wana mafanikio karibu mara 10 zaidi kwenye taasisi wanazoziongoza

RankCountry% of Women in ParliamentGlobal rank
1Rwanda61.3%1st
2Senegal46.1%11th
3South Africa45.8%14th
4Namibia44.2%19th
5Mozambique43.2%20th
6Ethiopia41.3%25th
7Cabo Verde38.9%30th
8Angola38.6%32nd
9Burundi38.2%36th
10United Republic of Tanzania37.4%41st
View attachment 3264362
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;

Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.

Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.

Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).

Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.

Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.

Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%

#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.

#Mwanamke Samia Mitano Tena,

===
Tuweke mwanamke kila taasisi. Tutatoboa.
 
Sasa kama Taasisi zinazoongozwa na wamama na wadada zinafanya mara 10 zaidi ya zinazo ongozwa na wanaume, yeye hapo PPP anafanya nini , si angewapisha wenye kufanya vizuri zaidi au yeye nu miongoni mwao tusijali mavazi yake
 
Huo ni utafiti ndg yangu
 
Sasa mbona yeye aliachana na mkewe? Saivi anaishije??
Atuambie ya hapakwetu kampuni gani za wanawake zinaongoza Kwa ufanisi??
Huyu aliitwa tu2 saivi kawa/ wanamwita chawa watu wakigoma bana🤣 kajiunga nakina mwijako
 
Ripoti ya utafiti inakuwaje ya mtu binafsi au sijakuelewa?
Inatakiwa iwe ya umma, sasa kuna mtu alinijibu kuwa anachoongelea Kafu kutokana na utafiti, ndio nauliza kama hiyo ripoti ipo wapi na Mimi nithibitishe hiyo ya kusema ke wapo na tija kuliko me
 
Sasa mbona yeye aliachana na mkewe? Saivi anaishije??
Atuambie ya hapakwetu kampuni gani za wanawake zinaongoza Kwa ufanisi??
Huyu aliitwa tu2 saivi kawa/ wanamwita chawa watu wakigoma bana🤣 kajiunga nakina mwijako
Nenda pale Bank ya NMB,
Angalia Pia Spika,
Angalia Pia Rais,
 
RankCountry% of Women in ParliamentGlobal rank
1Rwanda61.3%1st
2Senegal46.1%11th
3South Africa45.8%14th
4Namibia44.2%19th
5Mozambique43.2%20th
6Ethiopia41.3%25th
7Cabo Verde38.9%30th
8Angola38.6%32nd
9Burundi38.2%36th
10United Republic of Tanzania37.4%41st
View attachment 3264362
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;

Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.

Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.

Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).

Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.

Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.

Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%

#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.

#Mwanamke Samia Mitano Tena,

===
Middle man kwenye 1&2
 
Nenda pale Bank ya NMB,
Angalia Pia Spika,
Angalia Pia Rais,
Kote nimeangalia hakuna chaajabu ifike mahali watu wawe timamu na mkisifu msifu mkiwa na mifano anuwai...
1.) NMB nimoja ya bank za zamani lkn zinabaki relevant kwasababu ya mkono wa serikali lasivyo ingekuwa hoi kama Nbc.
TZ bank Bora yenye viwango isiyobebwa na serikali ni CRDB.
2.) Spika wasasa Hana viwango vyovyote na anaendesha bunge lachama kimoja. Lilivyokuwa mchanganyiko alisababishaga chuki namipasuko labda hufuatilii.
3.) Nchi yeti imekuwa katika nyanja gani hasa?
Je, kilimo tumefanikiwa zao lipi?
Je, viwanda gani vipya,vikubwa?
Je, tunaexport Nini kwawingi?
Je, gesi imetunufaishaje?
Je,madini YETU Nini kinaendelea?
Nchi imebaki ya wachuuzi,madalali na matajiri wengi ni wakutumia ndumba/mafrimasoni nasio Mungu na akili... Tafakuri!!
 
RankCountry% of Women in ParliamentGlobal rank
1Rwanda61.3%1st
2Senegal46.1%11th
3South Africa45.8%14th
4Namibia44.2%19th
5Mozambique43.2%20th
6Ethiopia41.3%25th
7Cabo Verde38.9%30th
8Angola38.6%32nd
9Burundi38.2%36th
10United Republic of Tanzania37.4%41st
View attachment 3264362
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;

Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.

Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.

Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).

Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.

Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.

Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%

#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.

#Mwanamke Samia Mitano Tena,

===
Kafulila hao wanawake unaowatetea ndio hao hao waliokuumiza mjomba?
 
Kwani huyu lazima kila siku aandike kitu? Siku zingine atuache tupumue, kimsingi tumemchoka na uchawa wake.
 
RankCountry% of Women in ParliamentGlobal rank
1Rwanda61.3%1st
2Senegal46.1%11th
3South Africa45.8%14th
4Namibia44.2%19th
5Mozambique43.2%20th
6Ethiopia41.3%25th
7Cabo Verde38.9%30th
8Angola38.6%32nd
9Burundi38.2%36th
10United Republic of Tanzania37.4%41st
View attachment 3264362
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;

Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.

Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.

Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).

Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.

Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.

Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%

#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.

#Mwanamke Samia Mitano Tena,

===
Ampishe mwanamke sasa

Maana yeye hadi sasa hajaleta any significant changes

Katika top 41 countries…. Wanaume wako 31…. Heshima kwao
 
Back
Top Bottom