MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Tuweke mwanamke kila taasisi. Tutatoboa.View attachment 3264362
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.
#Mwanamke Samia Mitano Tena,
===
🤣🤣 SubutuTuweke mwanamke kila taasisi. Tutatoboa.
Sasa kama Taasisi zinazoongozwa na wamama na wadada zinafanya mara 10 zaidi ya zinazo ongozwa na wanaume, yeye hapo PPP anafanya nini , si angewapisha wenye kufanya vizuri zaidi au yeye nu miongoni mwao tusijali mavazi yakeView attachment 3264362
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.
#Mwanamke Samia Mitano Tena,
===
Huo ni utafiti ndg yanguSasa kama Taasisi zinazoongozwa na wamama na wadada zinafanya mara 10 zaidi ya zinazo ongozwa na wanaume, yeye hapo PPP anafanya nini , si angewapisha wenye kufanya vizuri zaidi au yeye nu miongoni mwao tusijali mavazi yake
Ripoti ya huo utafiti ipo mkataba Gani au ni ya watu binafsi au ni ya ummaHuo ni utafiti ndg yangu
Ripoti ya utafiti inakuwaje ya mtu binafsi au sijakuelewa?Ripoti ya huo utafiti ipo mkataba Gani au ni ya watu binafsi au ni ya umma
Inatakiwa iwe ya umma, sasa kuna mtu alinijibu kuwa anachoongelea Kafu kutokana na utafiti, ndio nauliza kama hiyo ripoti ipo wapi na Mimi nithibitishe hiyo ya kusema ke wapo na tija kuliko meRipoti ya utafiti inakuwaje ya mtu binafsi au sijakuelewa?
Nenda pale Bank ya NMB,Sasa mbona yeye aliachana na mkewe? Saivi anaishije??
Atuambie ya hapakwetu kampuni gani za wanawake zinaongoza Kwa ufanisi??
Huyu aliitwa tu2 saivi kawa/ wanamwita chawa watu wakigoma bana🤣 kajiunga nakina mwijako
Middle man kwenye 1&2View attachment 3264362
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.
#Mwanamke Samia Mitano Tena,
===
Kote nimeangalia hakuna chaajabu ifike mahali watu wawe timamu na mkisifu msifu mkiwa na mifano anuwai...Nenda pale Bank ya NMB,
Angalia Pia Spika,
Angalia Pia Rais,
Anamjaza MAZERI.Jamaa anatafuta maandiko ya kumchota mama akili. Huu uchawa, hakuna jina lingine
Kafulila hao wanawake unaowatetea ndio hao hao waliokuumiza mjomba?View attachment 3264362
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th 7 Cabo Verde 38.9% 30th 8 Angola 38.6% 32nd 9 Burundi 38.2% 36th 10 United Republic of Tanzania 37.4% 41st
===
Katika ukurasa wake wa (X) zamani Twitter Mhe. David Kafulila katika heri za Siku ya Mwanamke Duniani ameandika haya;
Kwanza, Mhe Kafulila anaunga mkono Uadilifu na Uchapakazi wa Wanawake dunia hasa pale wanapoaminiwa na kupewa nafasi za kiuongozi.
Mathalani hapa Tanzania unaweza ukaona namna Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyomwadilifu na mwaminifu.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu ametimiza miaka minne ya Urais lakini hayuko Mtanzania hata mmoja awe ni mpinzani au MwanaCCM anayeweza kusimama na kusema Mama amekula hata Shilingi mia ya Serikali (Samia ni mwanamke).
Katika ripoti iliyochapishwa na jarida maarufu Duniani la Insider Africa, nchi ya Rwanda ndio wanaongoza kwa kuwaamini zaidi Wanawake Barani Africa kwa sasa.
Huenda ndio sababu kasi ya maendeleo nchini Rwanda ni yakupigiwa mfano na Kila mwenye akili timamu katika Ukanda mzima wa Africa ya Mashariki.
Sisi Tanzania tunashika nafasi ya 41 kidunia na nafasi ya 10 kwa Africa hata hivyo tumeamini na kuajiri Wanawake kwa zaidi ya 37.4% bado tunayo safari ndefu ya kuwawezesha wanawake walau tufikie 50%
#Utafiti hupingwa kwa Utafiti ila ni ukweli wa wazi kuwa Wanawake si wapigaji kama ilivyo kwa Wanaume.
#Mwanamke Samia Mitano Tena,
===
Ampishe mwanamke sasaView attachment 3264362

Anatafuta ubungeKwani huyu lazima kila siku aandike kitu? Siku zingine atuache tupumue, kimsingi tumemchoka na uchawa wake.
Wa Jimbo gani?Anatafuta ubunge
Sio tu Rais hata JescaJamaa anatafuta maandiko ya kumchota mama akili. Huu uchawa, hakuna jina lingine