David Kafulila: Wanawake wataongeza Dola Trilioni 28 kwenye mzunguko wa Uchumi wa dunia ikiwa tu tutaamua kuwashirikisha kikamilifu

Kafulila unaongelea sana mambo ya wanawake mbona ndoa tu ilikushinda?
Kweli anasema happy women's day wakati mkewe kamkasirisha hadi kuachana

Salamu hizo wanatakiwa kutoa wanaume wasiokasirisha wake zao
 
Kweli anasema happy women's day wakati mkewe kamkasirisha hadi kuachana

Salamu hizo wanatakiwa kutoa wanaume wasiokasirisha wake zao
Kafulila aongelee mambo ya PPP aachane na mambo ya wanawake
 
Huyu Kafulila hizi story zake huwa nazifananisha na story za Professor Janabi🤣
 
Kafulila aongelee mambo ya PPP aachane na mambo ya wanawake
PPP naona haimtoshi

Raisi amtoe ili abaki huru muda wote kuanfika hayo mambo ya wanawake

Sioni tija yake uwepo wake pale kutwa kuwaza mambo ya wanawake
 
Huyu naye maneno tu na matakwimu ambayo hayana uhalisia
 
Jamaa baada ya kulamba asali kila akiamka yeye na takwimu sijui utafiti
 
Si ilishamshinda!
 
Hisia zangu:: hawa wanaochochea ushoga ndo wanaochochea hizi propaganda za wanawake wawe juu ya Mwanaume!!

I stand to be corrected! Halafu ni mawazo yangu tu..

Ni Kama hizi Mambo Zina relate
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…