David Kafulila: Wanawake wataongeza Dola Trilioni 28 kwenye mzunguko wa Uchumi wa dunia ikiwa tu tutaamua kuwashirikisha kikamilifu

Ila ukweli wamejaliwa

Tunaposhangaa sarakasi hii, huko shambani kuna jeshi kubwa linafanya yake
 
Kwani ni takwimu za uongo?
Aongelee na vifa vya akina mama wanaokosa huduma ya mama na mtoto, wanamama wanaojitwika ndoo kichwani kwenda km 10 kuchota maji, wasagaji na malaya wengine, wavuta bangi, wasiopata nafasi ya kwenda shule sababu za mila na desturi za makabila mbalimbali.
 
Kafulila unaongelea sana mambo ya wanawake mbona ndoa tu ilikushinda?
Labda takwimu aliyofanya kujua walewauza michicha na mihogo mibichi nakaranga ndio bilion zitaongezeka.Huyu mtu lile jina la tumbili walilomuita bungeni naona walikosea ilibidi wamuite ndege mwarabu wale wanaopatikana kanda ya ziwa
 
Kafulila kwa Promo kwa Mama ni balaa
 
Reactions: YAY
Negative, mwanaume amekuwa akipambana miaka yote, mwanaume ndio frontline ya dunia.
Shida jamii haitaki kutambua mchango huo
Ni siasa tu za kijinga, maaskari wanaume wasiende kulinda bank walinde askari wanawake kama majambazi hataiba hela na kunya ndani ya bank
 
Ni siasa tu za kijinga, maaskari wanaume wasiende kulinda bank walinde askari wanawake kama majambazi hataiba hela na kunya ndani ya bank
Nimeipenda hii. Wanawake ni wasaidizi wa wanaume ni kama driver na konda wa daladala. Mungu muumba,alimuumba mwanaume kisha akamlaza akatoa ubavu akamfanya mwanamke ili awe msaidizi wake.
 
Nimeipenda hii. Wanawake ni wasaidizi wa wanaume ni kama driver na konda wa daladala. Mungu muumba,alimuumba mwanaume kisha akamlaza akatoa ubavu akamfanya mwanamke ili awe msaidizi wake.
Hata wanyama wanalindwa na madume
 
inawezekana, tuwashirikishe zaidi, ndoa ziharobike, uchumi upande, tuzalishe Jamii ya hovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…