Mwanahabari Huria
Member
- Jan 29, 2025
- 68
- 16
Achana na hii kitu mambo ya ndoa ni mtambukaKafulila unaongelea sana mambo ya wanawake mbona ndoa tu ilikushinda?
Hapa kaongelea Uchumi na wanawake sio ndoa na UchumiKafulila unaongelea sana mambo ya wanawake mbona ndoa tu ilikushinda?
Si kama huyu kiongozi wetu ni jangili haswaWanawake wakiamua kuwa majangili hata wanaume hawaoni ndani. Wanafanya kufuru.
Nimejifungua mtoto wa kike jana naogopa mtoto wangu atakosa nyonyo ya mama.Si kama huyu kiongozi wetu ni jangili haswa
HongeraNimejifungua mtoto wa kike jana naogopa mtoto wangu atakosa nyonyo ya mama.
Mkuu wewe unawatoto wangapi?Hongera
Kweli hii wewe unaona hii ni porojo kwa upande wako?Tumfungulie JF account iitwe Porojo za Kafulila ili porojo zake zote ziwe zinawekwa hiko.
Asante sana mkuu.🤣Hongera
Hongera sana ndg yanguAsante sana mkuu.🤣
Tuzo ya nini? Kafulila ni Mwijaku aliochamgamkaKafulila CCM impe tuzo lakini jamaa sio raia
Asante sana ndugu yangu 🤣🤣Hongera sana ndg yangu
Mambo ya CCM hayo, Mwanamke hawezi chochoteYaani tuwashirikishe kikamilifu kwenye pesa zetu au?
Ni walemavu ndio maana wamewatengea wheel chairs za ubunge.Mambo ya CCM hayo, Mwanamke hawezi chochote
2, wewe?Mkuu wewe unawatoto wangapi?
Wanawake na maendeleoView attachment 3264382
Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa.
Kafulila anasema ikiwa Taifa na Dunia tutaamua kuwashirikisha vema wanawake katika Ujenzi wa Uchumi wa Dunia au wa Taifa huenda Uchumi wa Dunia ukakua kwa 30% sawa na US$28 Trilioni.
Mkurugenzi Mtendaji huyo wa kituo cha Ubia nchini PPPC amerejelea utafiti uliofanywa na Kampuni ya Kitafiti ya McKinsey Global Institute iliyomtambua mwanamke kama turufu muhimu katika Ujenzi wa Uchumi Mkubwa wa Dunia.
Utafiti huu unapewa nguvu na uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan namna ambavyo kwa miaka minne tu Uchumi wa Tanzània umekuwa kwa record ambazo hatujawahi kuziona Wala kuzisikia tangu Uhuru wa Taifa hili.
View attachment 3264367
==
Mmoja tu2, wewe?
Samia mitano tena Mama,View attachment 3264382

SawaView attachment 3264382