Pre GE2025 David Kafulila Waziri Mkuu Novemba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Halafu huyo anayetaka kuchukua nafasi yake ndiye aliyempora mke.🤣🤣🤣
 
..Kafulila aliwahi kuwa mpinzani. Sio rahisi kuaminiwa na Ccm na kuteuliwa kuwa WM. Kumbuka kwamba Waziri Mkuu anaweza kukaimu nafasi ya Rais.
 
Ndiyo umemmaliza sasa.
 
..Kafulila aliwahi kuwa mpinzani. Sio rahisi kuaminiwa na Ccm na kuteuliwa kuwa WM. Kumbuka kwamba Waziri Mkuu anaweza kukaimu nafasi ya Rais.
Sidhani ila wanaoweza kukaimu nafasi hiyo ni Jaji Mkuu na Spika wa Bunge.
 
Moderators embu mada kama hizi pelekeni jukwaa la habari.

Nina hakika sio mimi kuna watiifu wengi wa jukwaa la siasa tukiona kichwa cha habari ‘Kafulila tunachefukwa’.

Inatosha sasa
 
Wewe ndo kafulila mwenyewe?
 
Kafulila deserves better but apunguze uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…