johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
DC Ole sabaya anasema siku hizi hata mtu akifa na ajali wazushi wanadai alikuwa na Corona.Hebu tuwekee picha ya gari alilopata nalo ajali marehemu mbunge ili twende sawa! Maana kwa jinsi ulivyo ripota mzuri siamini Kama hili limekupita!
Wana undugu na Richard Kasesela, Mkuu wa Wilaya ya Iringa mjini?.....au ni majina tuu?Wana undugu na Richard Kasesela, Mkuu wa mkoa wa Iringa au ni majina tuu???
Kama ambavyo na wao wanaficha kuwataja wahanga wa Corona.DC Ole sabaya anasema siku hizi hata mtu akifa na ajali wazushi wanadai alikuwa na Corona.
Ni MTU na kakakeWana undugu na Richard Kasesela, Mkuu wa Wilaya ya Iringa mjini?.....au ni majina tuu?
Kuna watu wapo Uhamiaji ndio mabosi,na mama Makakara anawajua.Hiyo biashara inamtandao mkubwa na mzito Sana, ni ngumu kuivunja kabisa...
Aisee hii biashara ya kuuza binadamu inakuja kwa mifumo mbali mbali kila baada ya muda flani.