David Kasesela kinara wa biashara ya kusafirisha Wahamiaji haramu akamatwa jijini Mwanza

David Kasesela kinara wa biashara ya kusafirisha Wahamiaji haramu akamatwa jijini Mwanza

DC Ole sabaya anasema siku hizi hata mtu akifa na ajali wazushi wanadai alikuwa na Corona.
Wewe na yeye mna tofauti gani ilihali sifa yenu kuu ni kuropoka bila kuwa na ushahidi! Yeye Hana taaluma ya udaktari, atawezaje kujua marehemu kafa kwa sababu zipi? Acheni siasa na kutafuta kick za kijinga kwenye uhai wa wengine!
 
Chadema ndio inatafuta kiki kwenye Corona!
 
Mtoa mada hii wapi haki ya kuwa innocent hadi utakapokuwa umesimama kizimbani?why umeiandika jina la mtu wakati bado ni suspect?ona sasa unaanza kusababisha ukoo mzima kuhukumiwa na media,tuanze kuishi maisha ua mujibu wa kisheria tusilaumu serikali tu wakati sisi wenyewe ni wakosefu wakubwa,tangaza jina la suspect once atakapokuwa ameshafunguliwa mashitaka na kusimama mahakamani.
Unatetea Hawa maharamia?

We una shida wewe
 
Back
Top Bottom