David Kasesela kinara wa biashara ya kusafirisha Wahamiaji haramu akamatwa jijini Mwanza

David Kasesela kinara wa biashara ya kusafirisha Wahamiaji haramu akamatwa jijini Mwanza

Kwanini mnakaa nae?
Mpelekeni baharini mnamfungia jiwe shingoni kisha mnamtosa, babake!
 
Mtoa mada hii wapi haki ya kuwa innocent hadi utakapokuwa umesimama kizimbani?why umeiandika jina la mtu wakati bado ni suspect?ona sasa unaanza kusababisha ukoo mzima kuhukumiwa na media,tuanze kuishi maisha ua mujibu wa kisheria tusilaumu serikali tu wakati sisi wenyewe ni wakosefu wakubwa,tangaza jina la suspect once atakapokuwa ameshafunguliwa mashitaka na kusimama mahakamani.
Huo ushauri kampe mkuu wa idara ya uhamiaji Mwanza na RC siyo mimi.

Wewe unaijua itifaki zaidi ya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Mwanza RC Mongella.

Umeambiwa David Kasesela alikuwa anatafutwa muda mrefu sasa wangempataje bila kuweka jina hadharani.

Bavicha mna mambo ya ajabu sana!
 
Anasafirisha sio anawauza.
Bado sijaona tofauti mkuu, maana anapewa fedha kuwaingiza hapa na kuwatoa ni sawa na kuuziwa tu bidhaa that is bad, haifai kuwafanyia binadamu wenzako namna hii, kuna njia nyingi tu za kupata pesa.
 
Nebo Sahihi ni anawasafirisha.
Anawatoa point A anawapeleka point B.
Hayo ni makubaliano.
Bado sijaona tofauti mkuu, maana anapewa fedha kuwaingiza hapa na kuwatoa ni sawa na kuuziwa tu bidhaa that is bad, haifai kuwafanyia binadamu wenzako namna hii, kuna njia nyingi tu za kupata pesa.
 
Biashara inalipa kishenzi hii.Afu wahamiaji wenyew hawana shida na Tanzania wao wanapita njia tu kwenda south.
Usemacho ni sahihi, kuna bwana mmoja ametajirika kwa biashara hii ingawa alikamatwa na kufukuzwa kazi.
 
Jina KASESELA haliishiwagi vituko, kabila gani hawa?
 
Ni MTU na kakake
Kama ni mtu na kaka yake huo ni mtihani mzito kwa Richard Kasesela, why?.....kuna kiongozi mmoja kwenye mojawapo ya dola zilizokuwa Kushi, alijiuzulu mamlakani bada ya kusikia mdogo mtu wa tumbo moja amekamatwa kwa uizi!!!!....sijui kitu kama hiki kinaweza kutokea kwenye Africa ya leo😆😆😆😆
 
Huyo siyo mdogo wa Richard!
 
Back
Top Bottom