David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

Chini ya CCM hakuna MAENDELEO ni kudanganyana tu
Hao wengine wakipewa nchi kwani watakuwa wametoka mbunguni ama ni Nini mkuu.

Afrika wote tuna njaaa Sana Tena Sanaa.

Bora tuchukue mjukuu wa Trump aje kutuongoza Mana hawazi hela. Mtu anaingia uongozini bilioni hajawahi Iona so anawaza how to steal it
 
Kama walishamfanyia confiscation ya baadhi mali zilizotokana na hasara aliyotia hiyo inaweza kuwa adhabu

Vinginevyo hayo ni masihara

Ndio kashatoboa huyo...

Labda abadilishiwe mashtaka
 
Oh chama imara ,serikali imara!! China wamefika mbali kwa kufanya maamuzi Magumu kwelikweli sio unafiki.
Wana katiba bora ukihalibu unawajibishwa.Kama kweli na sisi tunataka kuwa na MAENDELEO basi tuwaige wenzetu.Lakini hapo hiyo hela imepigwa kimfumo lazima wamlinde mwezai
 
Hehehehe Tz ya Vibanda..

Yaani unasababisha hasara ya Billion 10 halafu fine milioni 8..

Jamaa wameamua tu wamuachie aendelee na kazi zake... Hukumu ya mezani hio
 
Bosi wa zamani wa ATCL David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100.

Hii nchi raha sana.
Unaiba bilioni 100 unaadhibiwa kwa faini ya milioni 8 (yaani 8/100,000).
Watu wenye madaraka juu ya fedha za umma wanapata ujumbe gani kutokana na hukumu hii?
 
Back
Top Bottom