David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

David Mataka wa ATCL, ahukumiwa kulipa faini Tsh milioni 8 kwa kulisababishia hasara ya Tsh Bilioni 71 shirika

Kwani mtambo huwa unaharibika ukifukua sana mitaro
Yeah, ule mtambo mtaani mnauita "kijiko", ili uweze kuinuka na kuzama mtaroni kuibua tope, unahitaji mtambo uwe mzima mifumo yake. Kuna mfumo wa hydraulic ndio mambo yote, halafu kuna mfumo wa umeme, gear n.k. Lakini kuna kipindi kikifika hata starter inagoma, ina maana hata kusogea karibu tu na mtaro haiwezekani.
 
Bosi wa zamani wa ATCL David Mataka amehukumiwa kwenda jela miaka minne ama kulipa faini ya Sh milioni 8 baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia shirika hasara ya Sh bilioni 100...
Muulize yule aliyekuwa wanaendesha nae baiskeli London ama Defao aliyezibuliwa mpaka kuumwa. Unamjua yule mchezaji wa Ureno Juan Pinto?
 
Huu ni wizi wa kimfumo au kitaasisi.Wizi wa namna hii mmoja hugeuzwa 'kafara' ya kuhadaa umma.Kimantiki ni uhuni na sio hukumu.Hukumuka ya wezi hawa itatolewa na Muumbaji mwenyewe maana kwake hakuna hakifichiki kitu.
 
Back
Top Bottom