Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mkuu hapa kuna somo kubwa la kujifunza hata sisi Tanzania. Nahofia tunaweza kuwa tunafanya kosa kama la Kenya kujenga SGR kwa manufaa makubwa ya nchi jirani kuliko ya kwetu.Wachina wana akili sana. Usipokuwa makini wanakumimba mchana kweupeeeee tena hadharani.
MK254 pole sana.
Majigambo na majivuno yote kumbe reli kwa gharama zenu mmewajengea Waganda. Tena mnawalipa zaidi ya Billion ishirini na mbili za TZS wachina kwa kuiendesha hiyo reli Kila mwezi.
Poleni sana wajuvuni na wajuaji
LABDA HOFU YANGU TU, SGR YETU ITAKUWA KWA MANUFAA YETU TZ.