Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
anaezungumziwa ni huyu......Hakika wewe ulikuwa unamfahamu Nkuba. Jamaa alikuwa kibonge mweusi tii,lakini mtoto wake Melisa,mweupe pee. Pengine kwa vile mama Melisa naye ni mweupe pee.
R.I.P Nkuba.
Aiseee,sad news indeed.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
R.i.p broda.. Lakn mleta mada amekurupuka, hana habari kamili za kumuhusisha marehemu na muziki.. Au na ye amesikia tu alikuwa mwanamuzk, ndo mana kashndwa kujbu maswali.
anaezungumziwa ni huyu......
rest in peace mac dee
Hapa watu waliingizwa chaka! Wakajua ni Mac D wa Dar skendo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]View attachment 55055RIP Kiongozi We will be missing you a lot
RIP poleni wafiwa