David Nkuba a.k.a Mac D hatunaye tena.

David Nkuba a.k.a Mac D hatunaye tena.

Hakika wewe ulikuwa unamfahamu Nkuba. Jamaa alikuwa kibonge mweusi tii,lakini mtoto wake Melisa,mweupe pee. Pengine kwa vile mama Melisa naye ni mweupe pee.

R.I.P Nkuba.
anaezungumziwa ni huyu......
1f8s34.jpg


rest in peace mac dee
 
R.i.p broda.. Lakn mleta mada amekurupuka, hana habari kamili za kumuhusisha marehemu na muziki.. Au na ye amesikia tu alikuwa mwanamuzk, ndo mana kashndwa kujbu maswali.

Wanamziki na wasanii ndio wanaopata attention duniani!
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki pia watanzania wote
RIP MacDee
RIP Mjomba
 
Mleta mada unatakiwa upate kidogo semina elekezi ya kuripoti vinginevyo urudie form2

Poleni wafiwa.
 
anaezungumziwa ni huyu......
1f8s34.jpg


rest in peace mac dee

.......Maskini huyu dada!! Kumbe huyu aliyefariki ni mumewe?Bila kuweka hii picha na mkewe nisingejua. Dahhh, namfahamu huyu dada.

Maisha yetu kweli mafupi, ni kufumba na kufumbua.

Bwana alitoa na ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
 
jamani huyu mtoa mada atakua amechanganya habari,kuna mac d (mackdennis) mmoja tu aliekuwa mwanamuziki wa bongo flava na ni mzma wa afya anaishi karakata airport
nyimbo zake ni kama tabibu (ft q chief) ,tabibu rmx (ft nature),sugar mummy (ft dully) ,nimwamini nani (ft fa na ay),na kwa wale wa kitambo hapo tunazungumzia wimbo kama Wapambe nuksi..........
 
Mohamedi Mtoi siku nyingine kuwa makini unaporipoti habari hasa za misiba, Benjamini Mkapa alipokuwa anagombea Urais watu wengi walikuwa wanamfahamu zaidi Keneth Mkapa wa Yanga, nadhani hapo utakuwa umenielewa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
jumba bovu limeniangukia....

Pumzika mahala panapostahili Mkuu
 
Back
Top Bottom