David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

Ushauri wake sio mzuri, serikali ikiongeza tozo itawapoteza baadhi ya wateja
 
Kabudi - mpaka haujafungwa
Silinde - mpaka umefungwa !
 
Ubabe hauleti suluhu, wanaweza kuamua kutumia bandari ya Beira
... na watakuwa wameipoteza Zambia kama mteja wa Dar Port jumla labda hadi marais waliopo madarakani watakapoondoka ndipo jitihada za kufufua mahusiano zinaweza kuanza tena kwa gharama kubwa.
 
Teyari ameshakuwa CHIZI.....kwanza cyo mbunge na ameshafukuzwa CDM...cjui anaongea kwa tiketi ya chama gani.. Hope.. natafuta huruma ya CCM... Mungu ammpe hekima SPIKA.. Haya ya leo ni aibu kesho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mbona ameanza kuwa na akili za kiccm ccm,ukiwazuia dar watatumia Mozambique,Angola,South Africa.wanatumia ya dar kwa heshima ya Nyerere na kaunda.Labda Kama ajasoma geographia
 
Kumbe Chadema wanaonaga mbali sana. Takataka kama hiz zikae na vichaa wenzao huko Lumumba. Hayo ndio mawazo eti ya Mbunge wa ccm mzalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi utajisikiaje ukisikia Silinde bado n8 mbunge kupitia chadema alafu wewe umemwita takataka?
Unafikiri Mbowe akiamua kuwasamehe wewe una cha kufanya?

Huwa tunawaonya kila siku msitumike na wakubwa zenu wa vyama mtaaibika. Hivi mwaka jana tungekwambia Silinde atakuwa hivi alivyo leo ungekubali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtu kafunga mpaka wake ili kuwalinda watu wake na janga la corona ambalo limeikumba dunia nzima,bado unaona kama anakufanyia nongwa wakati hata wewe mipaka umefunga kwa wageni kuingia yote hayo huyaoni si unafaa kupimwa mkojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…