Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Ushauri wake sio mzuri, serikali ikiongeza tozo itawapoteza baadhi ya watejaMbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!