Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Chadema haina mbunge anayeitwa SilindeKabudi yuko sahihi huyo mbunge wa Chadema amekurupuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema haina mbunge anayeitwa SilindeKabudi yuko sahihi huyo mbunge wa Chadema amekurupuka!
Wabunge wa Chadema wako karantini na spika kawazuia wasirudi kwa kutumia watu wa usalama wa Bunge.Mbona yuko bungeni?!
Mkuu kachukue Jimbo la Silinde!!Wakiendaga ccm wanakuwa wajinga ghafla sijui kwa nini?
Ghafla Silinde kawa mjinga, anafikiri bandari ni Dar tu; afterall Zambia walishaikimbia Bandari ya Dar es Salaam kwa kiasi kikubwa na wanapitisha mizigo yao Beira, Durban na Walvis BayMbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.
Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.
Chanzo: Star tv
Maendeleo hayana vyama!
ASANTESilinde sio mbunge wa Chadema! Huyo ni mbunge wa Ndugai! Sorry nipo nje ya mada
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu sasa anajipendekeza ili arejee bungeni kwa tiketi ya CCM..Kumbe ndio maana kabaki bungeni.anaakili za ki CCM kabisa.kwani mnafikili bandali mnayo nyiyi peke yenu.
I had two customers last two years from Zambia.. Hawa jamaa waliniambia DSM port ina bureaucracy sana.Ubabe hauleti suluhu, wanaweza kuamua kutumia bandari ya Beira
Wewe kwani zambia nchi yako ile.kiongozi wao anaakili timamu sio jiwe yule.raisi wa zambia ameshafunga mipaka wewe kama unabisha kavuke.hivi kwa nini wabunge wa chadema wanakurupuka sana ?
mpaka haujafungwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wenzake wa ccm uwakika wakurudi bungeni hawana na yeye anajipeleka hukohuko.huyu sasa anajipendekeza ili arejee bungeni kwa tiketi ya CCM..
mpaka upo wazi na mizigo inapitaWewe kwani zambia nchi yako ile.kiongozi wao anaakili timamu sio jiwe yule.raisi wa zambia ameshafunga mipaka wewe kama unabisha kavuke.
Mkuu huyo si mbunge wa CDM,ni mbunge wa NdungaiWabunge wa Chadema wanakurupuka sana!
Labda ndio msimamo wa chama!Akili yake ndiyo imeishia hapo