David Silinde: Ili kuwakomesha Zambia kwa kutufungia mpaka, Serikali yetu iwaongezee Tozo kwenye mizigo yao iliyopo bandarini Dsm

Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Huyu dogo muda mfupi ameishaaanza kufikiri kiccm ( kijinga)
 
I had two customers last two years from Zambia.. Hawa jamaa waliniambia DSM port ina bureaucracy sana.

Hivyo walihamia bandari Beira nadhani sio mbali sana na kwao.

Hivyo waache tu wajisahau watabaki na mizigo ya DRC na mdugu yao Kagame.

sent using Simenzi mayai
Beira ni karibu zaidi, ninadhani wao kutumia bandari ya Dar ni sababu za ki diplomasia zaidi ambazo tunaziharibu.
 
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Daaa hizo akili matopeeeee!!!
 
Zambia wasubirie dawa yao iko jikoni
Dah! Ama kweli mtu akihamia CCM tu akili yake inagota. Hivi hujui Zambia inaweza kupitisha mizigo yao yote kupitia bandari ya Beira? Ama hujui Uganda na Rwanda wanaweza kupitisha mizigo yao yote bandari ya Mombasa? Nina hakika hamtathubutu kufanya ujinga huo, la sivyomtadoda na bandari yenu!
 
silinde hongera kwa kupigania wapiga kura wako ambao biashara zao zimefungwa maduka yao upande wa zambia hawawezi kwenda.Jimbo lake linapakana na Zambia ambako maelfu ya wafanyabiashara wa Tanzania hawawezi fanya biashara zambia ambako ndio tegemeo lake kubwa

Silinde haongelei tu hewani anaongelea wapiga kura wa jimbo lake la Momba

KOsa la pili chadema wanafanya kumzomea mbunge asiongelee maslahi ya wapiga kura wake wanaoumia kwa mpaka wa zambia kufungwa
 
Kwa msaada wa mtandao,
Dar es salaam to Lusaka= 1936km
Beira to Lusaka. =1045 km.
Regardless of other factors.
 
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Too low of thinking.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaa huyu naye... Kwan sikuna MTU Jana kasema Zambia haijafunga mpaka ??

Hiii nchi hahah, nmegundua kumbe ndo maana kila MTU ana yake tu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
silinde hongera kwa kupigania wapiga kura wako ambao biashara zao zimefungwa maduka yao upande wa zambia hawawezi kwenda.Jimbo lake linapakana na Zambia ambako maelfu ya wafanyabiashara wa Tanzania hawawezi fanya biashara zambia ambako ndio tegemeo lake kubwa

Silinde haongelei tu hewani anaongelea wapiga kura wa jimbo lake la Momba

KOsa la pili chadema wanafanya kumzomea mbunge asiongelee maslahi ya wapiga kura wake wanaoumia kwa mpaka wa zambia kufungwa
Sasa hapo anapigania au anaharibu zaidi.
 
Silinde akili zishamruka tayari michango yake imekuwaa yakiCCM tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema kweli akili hamna
Huyo SILINDE NI MBUNGE wa Momba jimbo linalopakana na Zambia wapiga kura wake ndio wanaumia kwa maelfu sababu zambia ndio tegemeo lao

Kwa hiyo msimamo wa CHadema ni kutaka mbunge wenu atetee wananchi wa zambia sio wa Momba stupid nyie na hilo lichama lenu?

Kama mbunge ni wajibu wake kutetea watu wa Momba SIO WA zAMBIA na kafanya hivyo mnamtukana hivi nyie Chadema vichwa vyenu vikoje?
 
naona silinde nae kwa sasa anafikiri kiCCM CCm daaaah....ana mwisho mbaya sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa msaada wa mtandao,
Dar es salaam to Lusaka= 1936km
Beira to Lusaka. =1045 km.
Regardless of other factors.
umesahau magaidi wa kiislamu factor wanaoua kama kuku msumbiji na wamekalia hizo route wanateka magari na maeneo kama wehu .JWTZ imemeleka jeshi kulinda upande wetu hali ya msumbiji mbaya
 
Mbunge wa Chadema mh Silinde ameitaka serikali kuiongezea Tozo mizigo ya Zambia iliyoko bandarini kama majibu kwa wao kutufungia mpaka.

Silinde amesema hayo wakati akichangia hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na kutoa mfano kuwa hata Marekani na China hulipana visasi kwenye vita vya kiuchumi.
Hata hivyo waziri Kabudi alimshushua kwa kumwambia kwamba mpaka haujafungwa.

Chanzo: Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Waache upumba, Zambia wana haki ya kujilinda na kuwalinda wananchi wao, usianzishe vita na anaejilinda,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom