johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mwizi wa kura ni Lijualikali!Kama hamkuiba kura atapigwa chini tu!
Mzee siku hizi anakohoa sana ..mbaazi zimeanza ku-xpire
Hiyo hiyo ya Songwe!Labda momba ya Jamaica
Mnyika alikuwa anarukaruka kabisa!Hata akikohoa tunapiga makofi.View attachment 1480429
Kupitia CCM atawafanyia mengi!jimboni kwake hakuna la maana apilofanya tofauti na kuunga juhudi
Huyu jamaa mpeni walau kazi ya kufagia hapo lumumbaMwizi wa kura ni Lijualikali!
Labda wakudadavua arudi tu kule!! Kwani walimpa talaka ngapi?!Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa Chadema aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.
Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa
Pongezi za kisaniiNajua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa Chadema aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.
Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa
Huyu atakuwa Gaderner.......kufagia atatoa siri za ofisi!Huyu jamaa mpeni walau kazi ya kufagia hapo lumumba
Usanii ndio siasa yenyewe!Pongezi za kisanii
Hata hapo garden muwe makini atasikiliza siri za vikao kwa dirishaniHuyu atakuwa Gaderner.......kufagia atatoa siri za ofisi!
Atapelekwa garden ya nyumbani kwa mzee Mgaya..... akileta mambo yake ya chabo anamwagiwa maji ya moto!Hata hapo garden muwe makini atasikiliza siri za vikao kwa dirishani
Magufuli kazidiUsanii ndio siasa yenyewe!