David Silinde ni mbunge pekee aliyepongezwa na Rais Magufuli, CCM huko Momba mpokeeni kwa unyenyekevu!

David Silinde ni mbunge pekee aliyepongezwa na Rais Magufuli, CCM huko Momba mpokeeni kwa unyenyekevu!

Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.

Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo

Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa
Wewe hukushangaa Mbunge wa CHADEMA lakini kakaa upande wa Wabunge wa chama tawala? Lijuakali pamoja na kukashifu CHADEMA bado amekaa upande wa wabunge wa upinzani
 
Labda wakudadavua arudi tu kule!! Kwani walimpa talaka ngapi?!
Nilitaka kusema neno Ila nimeamua ninyamaze. Wakudadavuwa ninahakika atapotea kwa muda hapa jamvini. Ila kwa Leo acha akatibie mikono kwa kushangilia kwa juhudi.
tapatalk_1592338530032.jpg
 
Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.

Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo

Maendeleo hayana vyama

cc: Wakudadavuwa
Silinde ni Naibu Waziri mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom