johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Kumzidi bwashee Mbowe?!!!!Magufuli kazidi
Kumzidi bwashee Mbowe?!!!!Magufuli kazidi
Hazizidi zile za kushambuliwa mguu wa kulia na MIJITU mitatuMagufuli kazidi
Mwamba baada ya bunge kuvunjwaHata akikohoa tunapiga makofi.View attachment 1480429
Mkulungwa nowadays anakohoa mno sijui tatizo ni nn
Mnyika alikuwa anarukaruka kabisa!
Ubunge unalipa mkuu..... Hakuna kupanga foleni Nssf!Si wamehakiikishiwa kabla ya saa 6 usiku wa leo ile penshen ya 350M inaingia kwny Account ndo maana wote hawajatoka Bungeni hata Zitto kaja maana Mzee anngeweza kuamua alietoka leo msimuingizie Kiinua Mgongo
Ubunge unalipa mkuu..... Hakuna kupanga foleni Nssf!
Lijualikali alitangazwa mshindi baada ya wananchi kupambana kulinda ushindi wake pale Bomani Kibaoni IfakaraMwizi wa kura ni Lijualikali!
Hakuna wabunge aliokuwa anawawinda Magufuli waende CCM kama Silinde na Msigwa, na kwa taarifa Silinde akirudi safari hii bungeni nina uhakika atapewa angalao unaibu waziri, Magufuli anampenda sana.Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.
Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa
Alikiri yeye mwenyewe kuwa yeye na Lowassa waliiba kura!Lijualikali alitangazwa mshindi baada ya wananchi kupambana kulinda ushindi wake pale Bomani Kibaoni Ifakara
Kwa hiyo chochote anachoongea huyo kijana unaamini?Alikiri yeye mwenyewe kuwa yeye na Lowassa waliiba kura!
Ni hilo la kuiba kura ndio nimemwamini......amekaa kiwizi wizi sana!Kwa hiyo chochote anachoongea huyo kijana unaamini?
Kwa hio ccm ni chama cha majizi ?Ni hilo la kuiba kura ndio nimemwamini......amekaa kiwizi wizi sana!
Kule anaenda kufagia fagia ofisi.Kwa hio ccm ni chama cha majizi ?
Kama umesema kwenye wizi wa kura alishirikiana na Lowasa ume imply Ccm ni majiziKule anaenda kufagia fagia ofisi.
Wanataka kumpima kama hajaacha udokozi!
MchagueniKupitia CCM atawafanyia mengi!
Taifa la wajinga na mang'ombeNajua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.
Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa
Hafai kabisa huyu.Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.
Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa
Naibu waziri wa Fedha na Mipango huyo.Hakuna wabunge aliokuwa anawawinda Magufuli waende CCM kama Silinde na Msigwa, na kwa taarifa Silinde akirudi safari hii bungeni nina uhakika atapewa angalao unaibu waziri, Magufuli anampenda sana.
Najua pongezi za Rais Magufuli kwa mbunge wa CHADEMA aliyemaliza muda wake David Silinde hazitapokelewa na watia nia wengine wa Momba akiwemo Wakudadavuwa.
Lakini kwa Silinde huu ni mguu mzuri kwa safari aliyoianza na asipopaparika anaweza kurejea bungeni kwa kishindo
Maendeleo hayana vyama
cc: Wakudadavuwa