David Silinde ni mbunge pekee aliyepongezwa na Rais Magufuli, CCM huko Momba mpokeeni kwa unyenyekevu!

Si wamehakiikishiwa kabla ya saa 6 usiku wa leo ile penshen ya 350M inaingia kwny Account ndo maana wote hawajatoka Bungeni hata Zitto kaja maana Mzee anngeweza kuamua alietoka leo msimuingizie Kiinua Mgongo
Ubunge unalipa mkuu..... Hakuna kupanga foleni Nssf!
 
Hakuna wabunge aliokuwa anawawinda Magufuli waende CCM kama Silinde na Msigwa, na kwa taarifa Silinde akirudi safari hii bungeni nina uhakika atapewa angalao unaibu waziri, Magufuli anampenda sana.
 
Taifa la wajinga na mang'ombe

Kutawala mang'ombe raha Sana
 
Hafai kabisa huyu.
 
Hakuna wabunge aliokuwa anawawinda Magufuli waende CCM kama Silinde na Msigwa, na kwa taarifa Silinde akirudi safari hii bungeni nina uhakika atapewa angalao unaibu waziri, Magufuli anampenda sana.
Naibu waziri wa Fedha na Mipango huyo.
 

Ukishamtongonza mwanamke akakubali, ukamvua Chup***,ukamaliza mambo yako akahamia kabisa kwako (kuolewa). Utaacha kumsifia popote uendeko? Andiko lako halina mashiko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…