David Silinde: Nilivutiwa sana na aina ya siasa za Dkt. Slaa na Zitto Kabwe ndipo nikajiunga CHADEMA

huyu hopeless kabisa, kwa hiyo hata kujenga chama yeye hataki? anafikiri chama kinajengwa na mawe nini[emoji23][emoji23]
Alikuwa anajibu swali la mtangazaji na amesema hilo ni takwa la kikatiba!
 
Jamaa ni mstaarabu sana!

..huyu alichanga karata zake vibaya.

..angejisalimisha kwa ccm mapema.

..vilevile alitakiwa awe mwehu-mwehu na ajilipue kama wenzake wakina Waitara na Mollel.

..huo upole unamponza.
 
..huyu alichanga karata zake vibaya.

..angejisalimisha kwa ccm mapema.

..vilevile alitakiwa awe mwehu-mwehu na ajilipue kama wenzake wakina Waitara na Mollel.

..huo upole unamponza.
Siasa ni sayansi

Huu ndio wakati muafaka na barua yake ya kujiunga CCM aliileta kitambo yeye na Mnyika!
 
Amuulize shibuda alikoishia na mpendazoe
 
Achague chama ambacho kinaendekeza usaliti.
 
Mi nacheka ikiwekwa thread ya Silinde kuongea, BAVICHA wanavyoamshwa hata kama wamelala kuja kupinga bila kuelewa wanachopinga!
 
Bwashee usikariri mifano ya zamani toa ya hivi karibuni ya akina Mwita Waitara na Dr Mollel!
Sisi makada wazoefu tunaumia sana.

Kitakachofuata ni kuroga na kuwawekea sumu panya buku wote.

Haiwezekani tujenge chama wageni waje,tuambiwe sisi tumejaza sebule. Tutawapunguza wenyewe.

Sent using iphone pro max
 
Wakati walikuwa wanazurura mtaani?hivi kwanini Mbowe atoze ushuru wabunge CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kituko cha Mwaka,unajilockdown na kujiunlock mwenyewe,halafu unarudi mazingira yaleyale
 
Kituko cha Mwaka,unajilockdown na kujiunlock mwenyewe,halafu unarudi mazingira yaleyale
Kosa liko wapi acha ujinga, hao ambao wako lockdown baada ya lockdown si wanarudi mazingira Yale Yale, Kama ulikua huendi kazin baada ya lockdown unarudi kazini dunia kote ndo hivyo wanafanya ama kweli ujinga ni mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…