Wewe mnywa viroba vya DJ zero umepata wapi uelewa wa kureply comment yangu.Kosa liko wapi acha ujinga, hao ambao wako lockdown baada ya lockdown si wanarudi mazingira Yale Yale, Kama ulikua huendi kazin baada ya lockdown unarudi kazini dunia kote ndo hivyo wanafanya ama kweli ujinga ni mzigo wa mavi
Huyu kijana atulie, siasa siyo vita
Kakosa nidhamu kwa viongozi wakuu wa chama, na chama kimemshughulikia atulie tu asijihangaishe kumsema Mbowe, Mbowe ni mpambanaji, Mbowe sasa hivi hana muda wa kujibishana na vijana wadogo yeye yuko busy kuushawishi utawala wa CCM uchukue njia stahiki za kupambana na COVziD-19 kwa ajili ya manufaa ya kiafya ya watanzania.
.
Nawashauri Chadema wasimpe airtime huyu kijana, waachane nae tu.
Ksondoka Mashinji itakuwa yeye?
Kumbe alimfuata Slaa na Zitto na sio sera za CDM kama hivyo mbona aichelewa kuwafuata hao watu wake ambao walishaondoka zamani? nafikiri sasa ana uhuru wa kwenda huko waliko kuliko kufanya kiburi ndani ya chama cha watu wenye itikadi tofauti na dhamira iliyo moyoni mwake na akihamia CCM anaweza kurudi Bungeni kwa kura za ubabe lakini uwanja ukisawazishwa maisha yake yote mjengo wa Dodoma atauona kama ukweni na tumtakie safari njema
hayo ndio mapungufu ya mwanadam...kusahau!.Silinde kwa wanao mjua kitendo cha kuwakosea heshima wakubwa Ndani ya Chama na kuwafanyia ubishi hiyo ni dharau sana
Silinde alifukuzwa chuo kwa ajili ya Ada, alienda kwenye chama na Chama kikamlipia
Huyu huyu Enzi za chopa silinde hata kutumia gps
Alikuwa hajui.... Kwenye chama muda wote anakuja na sandles tu....ndomana hata alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza alivaaa sandles
Eti Leo hii unavimba
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
100% kweli ni mstarabu sana. Wanao mtafsiri vibaya hawakumsikiliza .Mtoa mada mwenyewe amepotosha baadhi ya maneno.Mi naona niwivu tuu. Tuache mawivu wajamani.Silinde ni hazina kubwa kwa taifa hili, yafaa tumtie moyo zaidi kuliko kumkatisha tamaa.Jamaa ni mstaarabu sana!
Ushamba tuhayo ndio mapungufu ya mwanadam...kusahau!.
hapo ukimkumbusha hayo unayoyasema (hata kama ni kweli) anaweza kukutukana!!!.
Hata hivyo kwa jamii ya watu wasomi & wastaarabu huwa wanaweka akiba ya maneno maana huijui kesho yako itakuwaje, na zaidi ya yote politics is a game of dynamic!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anajibu swali la mtangazaji na amesema hilo ni takwa la kikatiba!
Nimekuelewa bwashee!Watu wa chadema lazima wakati mwingine mkubali ndani ya chama kunatatizo kubwa sana linaendelea lakini pia wabunge wa chadema lazima mkubali pia hata huo upande mwingine msizani km huko ndio mtakuwa salama sana. Hata huko chama tawala nako kunawababe wake nyie mtakuwa wakupelekeshwa tu.