brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Baada ya kutotajwa jina lake kwenye tuzo za
MTV MAMA 2016, Davido amejipa moyo kufanya
vizuri mwakani kwenye tuzo hizo.
Kupitia mtandao wake wa Twitter, muimbaji huyo
ameandika, “I really shouldn’t be nominated this
year For what?? I got three MAMAS in two years
I’m good ! Still gonna be a great show! BUT NEXT
YEAR .”
Davido amefanikiwa kushinda tuzo tatu za MTV
MAMA ndani ya miaka miwili mfululizo huku tuzo
mbili kati ya hizo zikiwa ni ‘Best Male’
alizoshinda mwaka jana na mwaka juzi.
Tangu staa huyo aliposaini mkataba na kampuni
ya Sony Music mapema mwaka huu mambo
yameonekana kumwendea kombo huku akiwa
hajaachia wimbo hata mmoja na kuvunja mara
kadhaa ahadi yake ya kuachia albamu yake
iliyotakiwa kutoka tangu mwaka jana
Tuzo za best male africa inawaniwa na black coffee, wizkid, patoranking, diamond platnumz na aka