Davido afunguka baada ya kutoswa MTV MAMA 2016

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya kutotajwa jina lake kwenye tuzo za
MTV MAMA 2016, Davido amejipa moyo kufanya
vizuri mwakani kwenye tuzo hizo.
Kupitia mtandao wake wa Twitter, muimbaji huyo
ameandika, “I really shouldn’t be nominated this
year For what?? I got three MAMAS in two years
I’m good ! Still gonna be a great show! BUT NEXT
YEAR .”
Davido amefanikiwa kushinda tuzo tatu za MTV
MAMA ndani ya miaka miwili mfululizo huku tuzo
mbili kati ya hizo zikiwa ni ‘Best Male’
alizoshinda mwaka jana na mwaka juzi.
Tangu staa huyo aliposaini mkataba na kampuni
ya Sony Music mapema mwaka huu mambo
yameonekana kumwendea kombo huku akiwa
hajaachia wimbo hata mmoja na kuvunja mara
kadhaa ahadi yake ya kuachia albamu yake
iliyotakiwa kutoka tangu mwaka jana
1474539338064.jpg

Tuzo za best male africa inawaniwa na black coffee, wizkid, patoranking, diamond platnumz na aka
1474539480469.jpg
 
povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna mtu alisema davido hataki kiki, davido kwao wana mpunga...

naona povu la obo kaliona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
obo the baddest[emoji23]!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ungeonyesha na reply zake hapo chini wadau wake wanasemaje tusingekosa chakucheka
 
povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna mtu alisema davido hataki kiki, davido kwao wana mpunga...

naona povu la obo kaliona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
obo the baddest[emoji23]!!
Achana na wajinga Dada,hakuna msanii hasiyependa TUZO tatizo liko kwenye kuzipata ndio hapo wengine wanajifanyaga hawana time nazo kwavile kila siku anapata za uso a.k.a anakosa.Msanii kama Wizkid yeye kila siku ni mtu wa kukosa unategemea atasemaje .............. Kuna huyu mtoto wa Mama wa K/koo naye unategemea atasemaje wakati kila siku hata kuwa nominii hatajwi ???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anatembelea nyota ya chibu
 
povu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kuna mtu alisema davido hataki kiki, davido kwao wana mpunga...

naona povu la obo kaliona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
obo the baddest[emoji23]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kashindwa kujizuia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anatembelea nyota ya chibu
Hapo sasa, ndio mtangazaji amuulize, unasemaje kuhusu swala la msanii kupata TUZO, unategemea atajibu vipi ........ Ila nenda kawaulize wanaozipataga kila siku wasanii kama DIAMOND au DAVIDO,uone watakavyosifia kwa msanii kupata tuzo.Au huyo wa K/koo muulize kuhusu tuzo za KTMA anazionaje.... kama hajazisifia.
 
Wapo wasiopenda kama chief mekar nliskia yeye tunzo hana mda nazo
Kuzipenda inataka uwe unazipata,sasa wewe kila siku ni wakukosa tu au hata kuwa nominiizi hupati utazipendaje,zaidi utaziponda tu.....??
 
Back
Top Bottom