Kaka hapa umechemsha!Huwezi jua biashara ya watu inawezekana Davido kawavutia wateja wakapata zaidi ya hapo,sasa mnalalamika nini wakati inajulikana wasanii wa bongo hamna mvuto kwa mashabiki
Show IPI bongo inavuta watu,kati ya wasanii Wa nje na ndani?Kaka hapa umechemsha!
Lakini kama na wewe utakua ni mmoja wanao Support wanamuziki wa bongo hata sisi tunaweza - Mkataa kwao ni mtumwa kaka!Show IPI bongo inavuta watu,kati ya wasanii Wa nje na ndani?
kwa nini hao kina mwanaFA wasijikusanye wakafanya shoo yao wenyewe wakajilipa wenyewe? Hii ndio tabu ya wabongo. mwanaFA ana masters, tena ya mamtoni, yule Nikki sijui ana masters na nasikia anataka kutafuta PhD,....Hivi akili hizi zote hawana ujanja wa kufanya shoo zao bila Clouds ya kina kibonde? Bakhresa kaishia la saba.....
Lakini kama na wewe utakua ni mmoja wanao Support wanamuziki wa bongo hata sisi tunaweza - Mkataa kwao ni mtumwa kaka!
Davido aliomba kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta na akaomba alipiwe Ticket, Malazi 5 Star Hôtel, na hela kidogo Haikufika $ 40000.
unachekesha Ndugu! yaani aharibu show yake na Times kwa show ya kubembeleza ya Fiesta!? bado haiingii akilini!
kwa nini hao kina mwanaFA wasijikusanye wakafanya shoo yao wenyewe wakajilipa wenyewe? Hii ndio tabu ya wabongo. mwanaFA ana masters, tena ya mamtoni, yule Nikki sijui ana masters na nasikia anataka kutafuta PhD,....Hivi akili hizi zote hawana ujanja wa kufanya shoo zao bila Clouds ya kina kibonde? Bakhresa kaishia la saba.....
Alijulishwa kuwa Times ni kituo kidogo cha Radio Tz na Tamasha lao lisingefana, pia hakuwa akifahamu kama Fiesta ni week zile.
Kilichomrudisha tena ni kukata kiu za mashabiki wake ambao anaamini hakuwatendea haki katika Tamasha la Fiesta la mwaka jana kutokana na hitilafu ya umeme iliyokatisha onyesho.
kwamba Times ni kituo kidogo si kweli. kwani alitakiwa kufanya show bure!? je angealikwa na mtu tu mwenye pesa yake angekataa kwa sababu hana jina yaani sio maarufu!?