Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta

Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta

Daaaaah, mnapenda kutoa sifa za uhongo kweli, PCM yake Tambaza ni ya div 3, sio 0

Acha kutoa tuhuma bila ushahidi! Muongo mkubwa weee! Fa hajawai kusoma TAMBAZA! Fa kasoma Tanga tech O lvl, A level kasoma Ununio Islamic High Sch, Bunju Bssihaya, kamaliza 2000 akapata 0!
Niache kidogo, bado nna hasira SITTA na SITTI!
 
kwa nini hao kina mwanaFA wasijikusanye wakafanya shoo yao wenyewe wakajilipa wenyewe? Hii ndio tabu ya wabongo. mwanaFA ana masters, tena ya mamtoni, yule Nikki sijui ana masters na nasikia anataka kutafuta PhD,....Hivi akili hizi zote hawana ujanja wa kufanya shoo zao bila Clouds ya kina kibonde? Bakhresa kaishia la saba.....

Karibu triaple A arushaa Leo tunafanyaa yetuu tuliyoandaaaa WEUSIIIIIIII midaa ya SAA mojaaa mpk majogoo mkuuu krb sanaa
 
huyo fa mpuuz kwel yaan anataka kulpwa sawa na davido wakat mwenzie n intanetional then yy mwsho mpakani
 
MwanaFa ana masters ya mambo ya finance, kutoka Coventry univ.
Ktk music hatumii masters yake, bali anatumia div zero yake ya pcm na ile certificate yake ya IT kutoka ifm!
Lakini alijitahidi enh, division zero si ndo equivalent to division five, au?!
 
huyo fa mpuuz kwel yaan anataka kulpwa sawa na davido wakat mwenzie n intanetional then yy mwsho mpakani
Amesema alipwe sawa na Davido au maelezo yake ni equivalent na kusema thamani yake ni robo ya thamani ya Davido? Kutokana na habari hiyo, Davido alilipwa $40K, FA anahoji kwanini hiyo $40K isingetumika kulipa wasanii wanne@ $10K... sawa na kusema, kila msanii hapo thamani yake ni robo tu ya ile thamani ya Davido!
 
Sometimes najikuta nakukubali sana...una akili ila sometimes.......😕😕
 
Sometimes najikuta nakukubali sana...una akili ila sometimes.......😕😕
Mi mwenyewe sometime nikikuona tu, moyo unafanya pah! sema sometime unaonesha mahaba yaliyopitiliza kwa Ally K hadi najisikia wivu na kuona utanipa hedeki bure!
 
Wenzetu wana vitu vingi sana wanaangalia katika kujenga Brand zao Duniani.
Hawaangalii Pesa tu peke yake.

Yani wewe n hopeless huna unachoelewa..

Alaf inaonesha hauna akili kabisa..
 
Mi mwenyewe sometime nikikuona tu, moyo unafanya pah! sema sometime unaonesha mahaba yaliyopitiliza kwa Ally K hadi najisikia wivu na kuona utanipa hedeki bure!

Hahahaaaa
 
Kwanza nasikia Davido alionekana anashangaa Big Screen wakati Weusi wanavyo floor nakuwapandisha watu mizuka na akauliza hawa jamaa ni nani akaambiwa ndio Miamba ya Kaskazini!

Oohh kumbe umesikia, nilidhani umeona
 
Kinachoamua bei ya msanii kulipwa kwa show siyo uzuri au ubaya wa show zake kwa sababu hats makibaliano huwa yanafanyika kabla. .Demand ya wateja ndo inasababisha. Kitendo cha Davido ,a award winning Africa artist kutajwa kuwa atakuwepo kilisababisha watu wengi sana kulipa kiingilio na kwenda Fiesta na wengine kukaa nyuma ya screen zao majumban wakipata ujumbe toka Serengeti .

Theory of Demand & Supply
 
Davido aliomba kutumbuiza kwenye Tamasha la Fiesta na akaomba alipiwe Ticket, Malazi 5 Star Hôtel, na hela kidogo Haikufika $ 40000.
Huu ni uongo kabisa unless wewe accountant wa Prime time promotion.
 
Back
Top Bottom