Davido Alivuta Dolla 40,000 Fiesta

Naomba unitajie baadhi ya hivyo vitu tafadhali!

Siku nyingine nikiwa na muda wa kutosha nitalifungulia Uzi wake maana kwaajili ya umuhimu wake nadhani siyo busara kuliweka kama Comment kwenye uzi unaozungumzia jambo jingine.
 

Matangazo je? Vipeperushi havitoshi. Ndio maana hali mbaya.
 
If you dont know the value of brand equity, you can't understand why people are willing to spend so much on certain things but not others. Every brand has got its price! MwanaFA anataka kusafiria reputation ya Davido, anaijua imemcost how much kuiestablish?
 
naanza kuamini bifu la jide na fa linaelekea mwisho
 
Huyo Mwanafa anaweza kweli kujilingajisha na Davido. Duh yeye apuge show aite watu awatoze elfu 50 au laki tuone kwanza.

Badala ya kuimba na kygutia watu kama Davido amejiendeleza kona kona duniani

Eti hajui ili wala lile kweli wewe unajua nini kwani hawakukuona hapo Tanzania?

Wasanii wa Tanzania muache wivu fanyeni juhudi kufika mbele na sio kulalamikaaaaaaa na kutumia amajina ya watubkutaka kypata umaarufu.

Imba usikike na ujiendeleze sio kulilia wivu.
 
Vituko vya Mwanahamisi, yeye ni sehemu ya Clouds ile studio aliyoto Rais iko wapi?
 
tatizo la wasanii wetu hawanaushirikiana na wanasalitiana ndo mana watabaki kuwa wasindikizaji tu kwenye matamasha hayo
 
Huwezi jua biashara ya watu inawezekana Davido kawavutia wateja wakapata zaidi ya hapo,sasa mnalalamika nini wakati inajulikana wasanii wa bongo hamna mvuto kwa mashabiki

nimecheka hadi bas
ngoja nkwambie wanaleta msanii kutoka nje ili kuvuta fans wapane zote watoto wa uswazi(wengi ndo wasikilizaji wa bongo fleva)na wa ushuani wao ndo wengi wanawafatilia wasanii wa nje na madstv
hilo ndo lengo kuna watoto wa kishua hajui ht chorus ya msanii ht mmoja bongo ila mwambie ashushe mistari ya pharrel weee!!
ndo lengo lao bwana
 
Naomba niseme kitu hapo kuna vitu vitatu hapo mosi kunakutoa burdani bila kujali inatoka wapi pili kutangaza mziki wa bongo hapa naweka mkato wajuu tatu kunakufanya biashara kwa mtindo utakao onekana unaweza kuleta mapene bila shida mkianza.kutangaza elimu za watu katika muziki mnaondoa maana
 
MwanaFa ana masters ya mambo ya finance, kutoka Coventry univ.
Ktk music hatumii masters yake, bali anatumia div zero yake ya pcm na ile certificate yake ya IT kutoka ifm!

He! Fa alipata zero A level?
 

Naelewa,wasanii Wa nje wanavuta watu waje kuwaona ila mle ndani jukwaa linakuwa linamilikiwa na wabongo
 
Huyo Fa aite aandae shoo kama watu watajaaa!!!!!!
 
MwanaFa ana masters ya mambo ya finance, kutoka Coventry univ.
Ktk music hatumii masters yake, bali anatumia div zero yake ya pcm na ile certificate yake ya IT kutoka ifm!

Daaaaah, mnapenda kutoa sifa za uhongo kweli, PCM yake Tambaza ni ya div 3, sio 0
 
Halafu jitu unalisikia ooooooh sitaki kazi ila natafuta wanaotafuta kazi Nicki ni mtoto ambaye inabidi aput his money where his mouth is na sio kujifanya critical thinker kama PLATO.POS
 
Kwanza nasikia Davido alionekana anashangaa Big Screen wakati Weusi wanavyo floor nakuwapandisha watu mizuka na akauliza hawa jamaa ni nani akaambiwa ndio Miamba ya Kaskazini!

kahawa ya leo ya baridi na kijiwe kimepooza leta story nyingine tuchangamshe kijiwe
 
Nash Mc, msanii wa HipHop anayejitambua sana, kafanikiwa kuandaa show yake mwenyewe na kafanikiwa. Wasanii wetu wengi tunaowaona ni wakubwa akili zao bado ni tegemezi sana, nategemea kwa umaarufu wao badala ya kutumiwa kwa malipo kiduchu na kualalamika tu, wanaweza fanya show zao wenyewe na wakafanikiwa.
Hapa chini ni Nash Mc akifanya show yake Temeke mwezi uliopita, ikiwa ni mwanzo wa ziara yake ya kimuziki aliyoipa jina la KINASA(Kiswahili na Sanaa).





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…