Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Samahani mbona mnapenda kupotosha ,hata kama mtu hamkubali si kiivyo mnafanya,si kweli kuwa alienda na idadi hiyo mnayoikuza hapa..Diamond aliondoka hapa na dancers coz alienda kuperfome,baby ake,mama na meneja baasi..wengine walienda kikakzi kama millard ,missago ..pia wpo walienda kwa mapenzi kabisa na kwa nauri zao kwenda kutoa sapoti..na mbona hiyo ni kawaida wasanii kwenda na wapambe wao kwenye tuzo..mbna kina davido na wasanii wengine walipokuwa wanaenda kuchukua tuzo walikua wanaenda na rundo la watu wao pale stejini hamkuona hayo??acheni bana hizo..


Hongereni kwa Hollywood walk of fame maana hata wajanja kama Kevin Hart , jay z hawajapewa heshima hiyo...mmetisha sana
 
Sio Afrika ni EAST AFRIKA tu

Mkuu hebu tafuta wimbo wa colabo alaofanya Diamond na wasanii wa Africa kama Davido, Sakordie,ect hapo ndo utaamini kauli yangu, humo utaona jinsi Diamond alivyowakimbiza tena Dangote kaimba kiswahili tu japo wenzake wamepiga kwa kimombo.
 
Nasikia alienda na watu mia, nyie ndomo ana wazimu, sasa watu wote hao kitu gani??

Basi wabongo hawapendi watu wa majigambo majigambo,nio maana hata kura hawapigi na watu wa karibu na wasanii wanashindwa kuwaeleza ukweli.Ndomo hata kwa chameleon haon ndani.Acha endeleze kupiga vibuyu madada
 
mnaijuwa Hollywood au mnaisikia tu? ila sishangai hata jina la kingwendu nimeliona.


hahahahaha matola read between the lines bana....unadhani bila kuwasifia hao jamaa si unaitwa hater..mi ningeambiwa hata kapewa MBE na queen Elizabeth itabidi nijichekeleshe
 
Sema ulikuwa humfahamu wewe, sisi tumemjua kitambo tu

Mkuu ndio wengi tulikuwa hatumjui kabisa, hata hao Mafikizolo tumewajua baada ya kuskia wamepambanishwa na mkali wetu Dangote kwenye tuzo za MTV. Over
 
Basi wabongo hawapendi watu wa majigambo majigambo,nio maana hata kura hawapigi na watu wa karibu na wasanii wanashindwa kuwaeleza ukweli.Ndomo hata kwa chameleon haon ndani.Acha endeleze kupiga vibuyu madada

Tatizo wabongo umasikini ndio unaotusumbua, Ally Kiba yupo simple tu mnamponda eti hajiweki kama Star, ahya sasa Diamond anajiweka kama Star napo bado mnaponda, au mnataka awe anavaa ndala kama Juma Nature ndio mumsifie?
 
Nadhani vigezo vya kumpata mshindi vitakuwa ni Kura, na sisi wote tunajua Nigerians ni wengi sana ( takribani 200m), na wana muamko sana kimaisha kuliko nchi yeyote kwa afrika, so you can easily predict the results.

But kama ni ukali wa muziki kati ya diamond, Davido na mafikizolo, I would bet for mafikizolo, diamond and last huyu kanjanja wa ki Nigeria.
 
Mi nampongeza tu Diamond kwa hatu aliyofikia ni hatua kubwa sana kuwa tu nominated ni ushindi tosha kwa kawaida katika mengi mshindi anatakiwa awe mmoja tu ndivyo ilivyotokea kwa Diamond na Davido. kuna wasanii wameanza gemu pengine Diamond bado Chekechea Tandale lakini hawajawahi hata kuchukua hata tuzo za KTMA sasa leo uje ubeze Diamond kupata nafasi ya kuwa nominated kwenye tuzo kubwa kama MTV na BET humtendei haki kabisa sio shabiki wa Diamond lakini kwa hili nampongeza sana
 
Diamond platnumz baada ya kutofanikiwa kupata Tuzo Ya BET asema haya
..
Imani yangu ni kwamba umekuwa mfuatiliaji mzuri wa habari tofauti kuhusu muziki wa Tanzania na unafahamu kuhusu tuzo kubwa aliyokuwa akiwania msanii Diamond katika tuzo za Bet Nchini Marekani. Taarifa mpya ni kuwa Tuzo zimefanyika na Tuzo aliyowania Diamond ya Best Africa Act imekwenda kwa msanii mwenzake Davido kutoka Nigeria.
Kwenye instagram Ya Diamond Kuna Huu Ujumbe kuhusu Matokeo Hayo.
¡± Tusipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani¡-.Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo¡- Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa¡- Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!¡-. Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa¡-..!!!!!! @wcb_wasafi For Life Baby .
Msanii wa Nigeria, Davido ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Best African Act, katika BET Awards 2014 zinazofanyika usiku huu Los Angeles, Marekani.
Davido alikuwa anawania kipengele hicho na wakali wengine kutoka Afrika akiwemo Diamond Platinumz, Mafikizolo, Toofan, Sarkodie na Tiwa Savage.

Show kamili ya tuzo hizo imeanza muda mfupi baada ya kutoa tuzo hiyo kwa msanii wa Afrika.
Ingawa Diamond Platinumz hakubahatika kuichukua tuzo hii, lakini hatua aliyopiga ni kubwa sana inayoweka Tanzania kwenye historia ya tuzo hizo kubwa za muziki duniani.
Kabla ya tuzo hizo, Diamond alipata nafasi ya kufanya mahojiano na vituo vikubwa na kuhudhuria mkutano maalumu wa wanamuziki wa kimataifa, na jana usiku aliungana na wanamuziki wenzake wa kimataifa katika BET Pre Awards Party.

Dah! Jamaa kweli DOMO
 
Angalia style ya kuimba,kuvaa,kucheza na shooting ya video davido kamuacha mbali ndomo.Ebu mwambieni aanze kuimba nyimbo za kizungu
 
Wenye roho za kwanini watakuja na post za kuponda na kupondea

Umeona eeh! Mie nadhani hata kuwa 'nominated' kwenye hizo tuzo za BET ni hatua muhimu sana kuelekea kwenye kujitangaza kimataifa. Ni wanamuziki wangapi kutoka Tanzania mpaka sasa ambao wameshinda tuzo hio? Ni wangapi wamekuwa nominated? Kwa nini Diamond ndio awe gumzo?
 
Basi wabongo hawapendi watu wa majigambo majigambo,nio maana hata kura hawapigi na watu wa karibu na wasanii wanashindwa kuwaeleza ukweli.Ndomo hata kwa chameleon haon ndani.Acha endeleze kupiga vibuyu madada

We mpuuz kweli unamfananisha ndomo na chameleone?? Chameleone mataw mengine wewe ana hela chafu ndomo anasubir, unafikir wenzetu wana mda wa kujipendekeza kwa wasanii wa nje ndo watoke? Wenzetu wana simama wenyewe kama wao
 
Back
Top Bottom