Masanja kaja dar ukubwani lakini katupiga bao hata tuliozaliwa mjin, mwenzetu mambo safi sasa ivi, ana mkwanja na miradi ya kueleweka, sema tu ulimbukeni wake.
Yaani masanja ana maneno machafu, ana dharau na majivuno ya hali ya juu, sijui ndo izo pesa zinampa jeuri, maana sura hana na anavyotembeaga kama katoka kutailiwa halafu sasa ivi mchungaji mara muimbaji, na hao anaowahubiria wokovu kazi wanayo, maana yeye u comedy ana u apply kila sehemu kwenye maisha yake, sijawah kumuona masanja akiwa serious ye mda wote anajifanya chizi