Mimi na wewe nani hajielewi??!! Awali umekana kwamba huna chuki na Diamond... yaani umeshasahau jinsi ulivyoandika kichuki chuki hapo juu ukifurahia Diamond kukosa tuzo!!! Ona ulichoandika:
Sasa kama sio chuki za hovyo hovyo tuite nini? Maajabu mengine una-mind hadi Diamond kusema amemtoa Davido... Davido mwenyewe haja-mind unakuja ku-mind wewe, MAAJABU HAYA!!!
Kuhusu Kiba... umesahau hapa ulivyotaka kulia majuzi uliposema Kiba anamvumilia sana Diamond coz' mara kibao Diamond anamsema vibaya Kiba lakini Kiba anakausha! Tukiacha bifu la nyimbo ya Single Boy, weka source hapa kuonesha Diamond akim-diss Kiba na kama huna basi it's obvious wewe ni swahibu ake Kiba kwahiyo Kiba anakuambiaga jinsi anavyomvumilia Diamond!!
Then unaongea trash... eti mbona anaposhindania AY huwa hakuna mgawanyiko... that's a piece of trash. It doens't matter nani yupo ulingoni, ili mradi unafurahia kushindwa kkwake basi wew ni mchawi tu!!!
Hizo habari sijui
#team kufanya nini ni type of trash that you routed to a wrong destination... i hope unao watu ambao story zenu kuhusu
#team so and so zinafanana!!