Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

ulishaenda ulaya mara ngapi mkuu

Sipo apa kwa ajili ya kujinadi, hata nikikwambia nimeenda mara mia itasaidia nini? Ivi watu wanaona kwenda ulaya nauli mil 50 eeh? Tena USA visa yake inapatikana ki urais kama njugu, kuna nchi mtu ukigusa hadi watu wanakuogopa ila sio USA uko mpaka akina riyama wanaenda halafu watu wanajifanya wajuaji
 
Mimi na wewe nani hajielewi??!! Awali umekana kwamba huna chuki na Diamond... yaani umeshasahau jinsi ulivyoandika kichuki chuki hapo juu ukifurahia Diamond kukosa tuzo!!! Ona ulichoandika:
Sasa kama sio chuki za hovyo hovyo tuite nini? Maajabu mengine una-mind hadi Diamond kusema amemtoa Davido... Davido mwenyewe haja-mind unakuja ku-mind wewe, MAAJABU HAYA!!!

Kuhusu Kiba... umesahau hapa ulivyotaka kulia majuzi uliposema Kiba anamvumilia sana Diamond coz' mara kibao Diamond anamsema vibaya Kiba lakini Kiba anakausha! Tukiacha bifu la nyimbo ya Single Boy, weka source hapa kuonesha Diamond akim-diss Kiba na kama huna basi it's obvious wewe ni swahibu ake Kiba kwahiyo Kiba anakuambiaga jinsi anavyomvumilia Diamond!!

Then unaongea trash... eti mbona anaposhindania AY huwa hakuna mgawanyiko... that's a piece of trash. It doens't matter nani yupo ulingoni, ili mradi unafurahia kushindwa kkwake basi wew ni mchawi tu!!!

Hizo habari sijui #team kufanya nini ni type of trash that you routed to a wrong destination... i hope unao watu ambao story zenu kuhusu #team so and so zinafanana!!
Duh mseng... umenifurahisha wewe
 
Huyo mdada mbeaaa sie cha mtotoo nakuambiaaaaa

Mwenzangu tunaitwa wachawi uku kisa hatumpendi ndomo, yani niache kumuabudu mungu aliyeniumba na anayenipa uhai nianze tu kumuabudu huyo mcheza ngololo mwenye miguu kama ufito wa genge ebu watupe break apa, davido ndo habar ya mujini
 
Tena kuna wabongo wamezaliwa ulaya na kukulia uko na kuendesha maisha yao uko na hawana uo ulimbukeni wa kujishau hivyo ,sasa mtu kwenda ulaya na visa ya wiki mbili fujo kibao wakati watu wana uraia kabisa wa uko majuu, na wenyewe wangepata uraia si ingekuwa shida apa mjini.

TEAMKajala utawajua tu kwa jinis povu linavyowatoka.
 
Last edited by a moderator:
Mwenzangu tunaitwa wachawi uku kisa hatumpendi ndomo, yani niache kumuabudu mungu aliyeniumba na anayenipa uhai nianze tu kumuabudu huyo mcheza ngololo mwenye miguu kama ufito wa genge ebu watupe break apa, davido ndo habar ya mujini

wakaoge walale kimpango waoooo....!km simpendi wema na hawara yake siwapendi tu!
 
10449133_1519719021585520_1730981228_n.jpg

###########
 
binamu watu tunasafir nchi za nje kula bata tu na kufanya shopping, na tumeanza kusafir na ndege tena nchi za nje tukiwa bado wadogo na hata hatujielewi

Sasa huyo masanja na mwenzie ndomo hawakuwahi kuota maisha yao yote kama watakuja kupanda ndege achilia mbali kwenda ulaya, watu tumeanza kumiliki passport tukiwa wadogo hata hatujui nini maana ya passport

Halafu kitu kingine ni ushamba wa hali ya juu kujitapa na vi passport vyenu , watu wana passport na uraia wa nchi mbili mbili na hawajitapi wapo kimya, sasa wenzangu na mimi na vi passport vyao vya ukubwani wanaleta shida tu apa na ulimbukeni wa maisha
Tatizo nilirusha jiwe wakati natoka kupata futari... yaani wala sikutarajia kwamba lingekupata kichogoni wakati unakatiza!!!!!!!! Samahani bhana, mie nilikuwa najibu post ya Heaven on Earth ... kumbe nilijitanua enhee!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha labda watu walikwazika na ile shera yake na sidiria...
Ila bongo bana kweli kila mtu ni star kumsifia mwenzie anaonashida.
Yaani Bongo sio eneo rafiki kabisa kwa kuwa staa, manake utaishia kupiga picha tu na watoto wa shule, tena videkenshee vya form one na form two... umevuka sana vya form three majority vikiwa vya shule za kata!
 
Tatizo nilirusha jiwe wakati natoka kupata futari... yaani wala sikutarajia kwamba lingekupata kichogoni wakati unakatiza!!!!!!!! Samahani bhana, mie nilikuwa najibu post ya Heaven on Earth ... kumbe nilijitanua enhee!!

Eeh maana tumeshawachoka na ulimbuken wa kumilik passoport ukubwan na kusafir nje, wakajitambie uko uko insta kwa wapuuzi wenzao

Hao akina masanja na ndomo asiowajua kama wametok uswazi nani? So mambo ya passport na safar za ulaya lazima waone big deal, wakafie instagram uko
 
Last edited by a moderator:
Eeh maana tumeshawachoka na ulimbuken wa kumilik passoport ukubwan na kusafir nje, wakajitambie uko uko insta kwa wapuuzi wenzaoHao akina masanja na ndomo asiowajua kama wametok uswazi nani? So mambo ya passport na safar za ulaya lazima waone big deal, wakafie instagram uko
Nani alikudanganya Uswazi hatusafiri au tunasafiri ukubwani? Unatutisha na safari za watoto wa kishua za Zimbabwe hadi Angola kwavile Baba ni Afisa Ubalozi??!! Huyo Masanja unayemtaja ni mshamba tu, mtu mwenyewe hata Dar kaja ukubwani...
 
Nani alikudanganya Uswazi hatusafiri au tunasafiri ukubwani? Unatutisha na safari za watoto wa kishua za Zimbabwe hadi Angola kwavile Baba ni Afisa Ubalozi??!! Huyo Masanja unayemtaja ni mshamba tu, mtu mwenyewe hata Dar kaja ukubwani...

Masanja kaja dar ukubwani lakini katupiga bao hata tuliozaliwa mjin, mwenzetu mambo safi sasa ivi, ana mkwanja na miradi ya kueleweka, sema tu ulimbukeni wake.

Yaani masanja ana maneno machafu, ana dharau na majivuno ya hali ya juu, sijui ndo izo pesa zinampa jeuri, maana sura hana na anavyotembeaga kama katoka kutailiwa halafu sasa ivi mchungaji mara muimbaji, na hao anaowahubiria wokovu kazi wanayo, maana yeye u comedy ana u apply kila sehemu kwenye maisha yake, sijawah kumuona masanja akiwa serious ye mda wote anajifanya chizi
 
Back
Top Bottom