Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Davido ambwaga tena Diamond kwenye tuzo za BET

Masanja kaja dar ukubwani lakini katupiga bao hata tuliozaliwa mjin, mwenzetu mambo safi sasa ivi, ana mkwanja na miradi ya kueleweka, sema tu ulimbukeni wake.

Yaani masanja ana maneno machafu, ana dharau na majivuno ya hali ya juu, sijui ndo izo pesa zinampa jeuri, maana sura hana na anavyotembeaga kama katoka kutailiwa halafu sasa ivi mchungaji mara muimbaji, na hao anaowahubiria wokovu kazi wanayo, maana yeye u comedy ana u apply kila sehemu kwenye maisha yake, sijawah kumuona masanja akiwa serious ye mda wote anajifanya chizi
Of course, Masanja kapanchi... sema mie siwezi kutafuta fedha kwa ku-hustle halafu nijitie Ulokole!! Haiwezekani pesa nitafute kwa ku-hustle halafu nianze kuitumia kwa kujificha ficha... ukionekana bar na demu, nongwa--- kisa, umejitangaza Ulokole, unless kama kisu chenyewe nimekipatia kwa staili hizo!
 
Sipo apa kwa ajili ya kujinadi, hata nikikwambia nimeenda mara mia itasaidia nini? Ivi watu wanaona kwenda ulaya nauli mil 50 eeh? Tena USA visa yake inapatikana ki urais kama njugu, kuna nchi mtu ukigusa hadi watu wanakuogopa ila sio USA uko mpaka akina riyama wanaenda halafu watu wanajifanya wajuaji

Huwa nawaangaliaga hao maskini siwamalizi...

kwenda america na ulaya wanaona fahari wakati wenzao wanaenda Kama kariakoo...

UTAWAKUTA WAMERUNDIKANA HUKO ECONOMY CLASS KWA WANUKA JASHO WENZAO LAKINI WAKIFIKA USHENZINI TAMBO KIBAAAAO

Kwa tabia zao za kikuda inafanya hata watu wasiwapende....
 
kwenda America tena? au kuja America si upo marekani wewe? hii ni jf ulijuwe hilo kwanza, kwahiyo wazungu wanaopanda economy class ni wanuka jasho pia?

siku zote uzoefu unaonesha maskini wana tambo sana maana hawajui hata hizo business class wenye pesa hawana haja nazo bali mwendo ni private jet.

hongera if u can't make it then fake it.
 
Inaonekana unafwatilia Sana maisha ya watu nani kakwambia anaishi marekani? Au unashindwa tofautisha mtu akisema nipo marekani au naishi marekani?

Mi sio mnuka dhiki Kama nyie mnaokesha kujitapa hapa kwamba mnaenda majuu.....
 
Back
Top Bottom