Samahani mbona mnapenda kupotosha ,hata kama mtu hamkubali si kiivyo mnafanya,si kweli kuwa alienda na idadi hiyo mnayoikuza hapa..Diamond aliondoka hapa na dancers coz alienda kuperfome,baby ake,mama na meneja baasi..wengine walienda kikakzi kama millard ,missago ..pia wpo walienda kwa mapenzi kabisa na kwa nauri zao kwenda kutoa sapoti..na mbona hiyo ni kawaida wasanii kwenda na wapambe wao kwenye tuzo..mbna kina davido na wasanii wengine walipokuwa wanaenda kuchukua tuzo walikua wanaenda na rundo la watu wao pale stejini hamkuona hayo??acheni bana hizo..
Lugha muhimu wazungu hawaelewi ngolololo wanaelewa skelewu tu , hyo ngololo mkacheze uko tandale
Ndio Dangote ndio aliomtoa Davido East Africa kwani mwanzoni tulikuwa hatumfahamu kabisa.
Hongereni kwa Hollywood walk of fame maana hata wajanja kama Kevin Hart , jay z hawajapewa heshima hiyo...mmetisha sana
Sio Afrika ni EAST AFRIKA tu
Nasikia alienda na watu mia, nyie ndomo ana wazimu, sasa watu wote hao kitu gani??
mnaijuwa Hollywood au mnaisikia tu? ila sishangai hata jina la kingwendu nimeliona.
Sema ulikuwa humfahamu wewe, sisi tumemjua kitambo tu
Basi wabongo hawapendi watu wa majigambo majigambo,nio maana hata kura hawapigi na watu wa karibu na wasanii wanashindwa kuwaeleza ukweli.Ndomo hata kwa chameleon haon ndani.Acha endeleze kupiga vibuyu madada
kule hakuna ruge mutahaba ili ulijuwe vyema
Diamond platnumz baada ya kutofanikiwa kupata Tuzo Ya BET asema haya
..
Imani yangu ni kwamba umekuwa mfuatiliaji mzuri wa habari tofauti kuhusu muziki wa Tanzania na unafahamu kuhusu tuzo kubwa aliyokuwa akiwania msanii Diamond katika tuzo za Bet Nchini Marekani. Taarifa mpya ni kuwa Tuzo zimefanyika na Tuzo aliyowania Diamond ya Best Africa Act imekwenda kwa msanii mwenzake Davido kutoka Nigeria.
Kwenye instagram Ya Diamond Kuna Huu Ujumbe kuhusu Matokeo Hayo.
¡± Tusipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani¡-.Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo¡- Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa¡- Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!¡-. Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa¡-..!!!!!! @wcb_wasafi For Life Baby .
Msanii wa Nigeria, Davido ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Best African Act, katika BET Awards 2014 zinazofanyika usiku huu Los Angeles, Marekani.
Davido alikuwa anawania kipengele hicho na wakali wengine kutoka Afrika akiwemo Diamond Platinumz, Mafikizolo, Toofan, Sarkodie na Tiwa Savage.
Show kamili ya tuzo hizo imeanza muda mfupi baada ya kutoa tuzo hiyo kwa msanii wa Afrika.
Ingawa Diamond Platinumz hakubahatika kuichukua tuzo hii, lakini hatua aliyopiga ni kubwa sana inayoweka Tanzania kwenye historia ya tuzo hizo kubwa za muziki duniani.
Kabla ya tuzo hizo, Diamond alipata nafasi ya kufanya mahojiano na vituo vikubwa na kuhudhuria mkutano maalumu wa wanamuziki wa kimataifa, na jana usiku aliungana na wanamuziki wenzake wa kimataifa katika BET Pre Awards Party.
Wenye roho za kwanini watakuja na post za kuponda na kupondea
maombi gani
Hivi alikuwepo au?
Alifanya pafomansi?
Wapambe wake vipi?
Naona leo kimya sana zile za KwaZulu waliongea sana
Mkuu ndio wengi tulikuwa hatumjui kabisa, hata hao Mafikizolo tumewajua baada ya kuskia wamepambanishwa na mkali wetu Dangote kwenye tuzo za MTV. Over
Basi wabongo hawapendi watu wa majigambo majigambo,nio maana hata kura hawapigi na watu wa karibu na wasanii wanashindwa kuwaeleza ukweli.Ndomo hata kwa chameleon haon ndani.Acha endeleze kupiga vibuyu madada