Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Your browser is not able to display this video.



Star wa muziki wa Afro Beats kutoka Nigeria amejizawadia ndinga mpya aina Mercedes Benz Maybach Virgil Abloh mpya kabisa.

Gari hizo zimetengenezwa 150 tu na sasa Davido atakuwa kati ya Watu 150 wenye gari hizo dunia nzima.
 
Having a black skin sio tatizo, tatizo kubwa sana ni kuwa na black mind...

Black mind ni umaskini wa kudumu, na upuuzi wa milele

Davido kwao matajiri, wala hutakiwi kujifanya unashauri lolote maana kati ya familia 20 tajiri nigeria na familia ya akina davido imo, wale ni dollar billionaires, amezaliwa anakuta visima vya mafuta, viwanda, mabenki, vyuo vyote vipo hatumii pesa kwa showoff bali anatumia zilizopo kwao tayari na kwa bongo wasanii wenye pesa kumshinda hawapo na hawajatokea na hawatotokea,
 
Hta msanii wetu mama yke angekuwa bilionea angenunua hii pia we unafikiri kuhudumia kijij ni jmbo dgo ni sawa na kununua ndge tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…