Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Mtoto wa Davido ndio wa kwanza kufa kifo cha kuzama majini ( drowning)? Mbona maskini kibao wanazama majini daily? Hebu ficha ujinga wako au hujui km kuna ajali duniani! Nchi hii ina wapuuzi wengi wanaoamini kila kifo kina mkono wa mtu

Tajiri akifiwa katoa kafara, maskini akifiwa mipango ya Mungu.
 
Acha ushamba wewe hiyo Mercedes Maybach ambayo kwa Marekani wanamiliki wasanii wadogo tu kama D Aye ndio inakutoa roho namna hiyo na kutoa kashfa ambazo huna uhakika nazo!?? Mindset ya muafrica imekaa kichawi chawi sana yaan hata aelimike uchawi upo tu damuni haya ndio matokeo ya Chale walizochanja mababu zetu mwilini mwao DNA za uchawi zinabaki mwilini kwetu tutafanya jitohada kuamini kila kitu kimetokea kwa namna ya kichawi vile..
Davido tangu 2019 anamiliki private Jet ukiachana na magari mengine ya kifahari,bei ya private jet ni mara tano ya hiyo gari ya sasa,je na hapa alimtoa kafara nani?! Babu yako!?,shangazi yako!? Acheni kuwa na roho za kichawi mtafanikiwa sana maishani
Hahahahahah...nashukuru umenijibia maana nilishindwa hata kuwajibu
Yaani ukfiwa ukatijirika baasi umetoa kafara Mtoto
Upuuzi Wa Hali ya juu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom