Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Huyu si ndiyo alisema anasikiliza sana ushauri wa Aliko Dangote kuhusu matumizi mabaya ya pesa? Maana aliko nasikia ndani ya miaka 10 maenunua magari mawili tu.
 
.
Screenshot_20230427-175932_Instagram.jpg
 
Hongera kwake ngoja na mimi mwakani nijitahidi nitoke kwenye bodaboda ninunue bajaji
 
View attachment 2601732
Familia rafiki ya davido ni pamoja na dangote ambae anaelezea dogo anamfahamu toka akiwa mtoto
Mkuu naomba uishie hapa,

Hahahahaaaaa..

Anyway, ndo maana as a hustler namuheshimu sana diamond, mtu kutoka kwenye umachinga hadi kushindanishwa kifedha na mtu kama huyu ni step kubwa sana
 
Wewe mtu kwao wana utajiri wa dollar karibu billion moja, halafu kajamba nani ambae ni maskini unataka kujifanya unaleta ushauri wakati kwenu hata panadol ni tatizo ukoo mzima,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Davido kwao matajiri, wala hutakiwi kujifanya unashauri lolote maana kati ya familia 20 tajiri nigeria na familia ya akina davido imo, wale ni dollar billionaires, amezaliwa anakuta visima vya mafuta, viwanda, mabenki, vyuo vyote vipo hatumii pesa kwa showoff bali anatumia zilizopo kwao tayari na kwa bongo wasanii wenye pesa kumshinda hawapo na hawajatokea na hawatotokea,
Bado nakazia having a black mind ni umasikini wa milele,
Wewe huelewi nin maana halisi ya mafanikio, sedio mane kwangu ni Bora maradufu
 
Davido kwao matajiri, wala hutakiwi kujifanya unashauri lolote maana kati ya familia 20 tajiri nigeria na familia ya akina davido imo, wale ni dollar billionaires, amezaliwa anakuta visima vya mafuta, viwanda, mabenki, vyuo vyote vipo hatumii pesa kwa showoff bali anatumia zilizopo kwao tayari na kwa bongo wasanii wenye pesa kumshinda hawapo na hawajatokea na hawatotokea,
Ikabidi nirudi googl kumtazama davido nkakuta miongoni mwa 30 familia za Nigeria tajiri yumo na baba Ake nadhak yumo ndani ya hyo club 30 Wana km kaumojwa wao
Nkaona haitoshi as per 2023 report utajiri wao umefike nadhani 1.2B
Nikaona Bado mpk adeleke university
Mpk mapicha ya dangote na Davido
Na Bado kuhusu kupost magari mbona kina "Ronaldo" wanaposti au Ndo kama kawaidaa ya waswahili" kusafiri asafiri mchaga kwenda kwao akisafiri mzigua kaenda kuroga"

Wasanii wamarekani Wana show off nyingi tu ila watu huona kawaida

Sent fromusing JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom