Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Ikabidi nirudi googl kumtazama davido nkakuta miongoni mwa 30 familia za Nigeria tajiri yumo na baba Ake nadhak yumo ndani ya hyo club 30 Wana km kaumojwa wao
Nkaona haitoshi as per 2023 report utajiri wao umefike nadhani 1.2B
Nikaona Bado mpk adeleke university
Mpk mapicha ya dangote na Davido
Na Bado kuhusu kupost magari mbona kina "Ronaldo" wanaposti au Ndo kama kawaidaa ya waswahili" kusafiri asafiri mchaga kwenda kwao akisafiri mzigua kaenda kuroga"

Wasanii wamarekani Wana show off nyingi tu ila watu huona kawaida

Sent fromusing JamiiForums mobile app
Ukisikia ushua ndio huo sasa 😀
 
Afadhali umetafuta taarifa sahihi, yaani kwa mfano hapa Tanzania utajiri wa familia ya Davido ni mara tatu labda ya utajiri wa mzee Mengi, halafu afanye matumizi bado umkosoe unaanzia wapi? Watoto wa bakhresa wanakokota ma Brubus, rolls royce, lakini sababu hawapost, ndio unakuta vijiweni tunadanganyana kua rolls ya mtoto wa tandale ni ya kwanza nchi nzima, kama ni shabiki furahia muziki na taarifa kama hizo ili uendeleze struggle ufike sehemu hivi
 
Umeona mbali sana. Wengi huona matunda (matokeo) ila ngoma ipo kwenye mizizi (Chanzo). What shall it profit a man if he gain the whole world and lose his soul?.
Mtoto wa Davido ndio wa kwanza kufa kifo cha kuzama majini ( drowning)? Mbona maskini kibao wanazama majini daily? Hebu ficha ujinga wako au hujui km kuna ajali duniani! Nchi hii ina wapuuzi wengi wanaoamini kila kifo kina mkono wa mtu
 
Ikabidi nirudi googl kumtazama davido nkakuta miongoni mwa 30 familia za Nigeria tajiri yumo na baba Ake nadhak yumo ndani ya hyo club 30 Wana km kaumojwa wao
Nkaona haitoshi as per 2023 report utajiri wao umefike nadhani 1.2B
Nikaona Bado mpk adeleke university
Mpk mapicha ya dangote na Davido
Na Bado kuhusu kupost magari mbona kina "Ronaldo" wanaposti au Ndo kama kawaidaa ya waswahili" kusafiri asafiri mchaga kwenda kwao akisafiri mzigua kaenda kuroga"

Wasanii wamarekani Wana show off nyingi tu ila watu huona kawaida

Sent fromusing JamiiForums mobile app
Waafrica ukiwa na hela lazima uchukiwe,ndivyo ilivyo huwa tunachukia wale ambao wametuzidi na ndio maana wadada wengi wana chuki sana na Zari Hassan kama ilivyo kwa loosers wa kiume kuwa na chuki kwa Diamond Platinumz..

Kuna mdwanzi anacomment hapo juu kwamba kununua hiyo mercedes Maybach kafara la kumtoa mwanae limetiki wakati Davido since way back anamiliki magari yenye thamani kuliko hata hiyo mercedes Maybach ya $500,000..kabla hata mwanae hajafatiki davido ana Lamborghini Aventador,Ferrari,Bentley na Rolls Royce phantom na cullinan zote kamiliki ikiwa ni pamoja na Private Jet ambayo bei yake ni mara tano ya hiyo Mercedes Maybach..Je wakati anamiliki haya yote alimtoa kafara nani!?
 
Umeona mbali sana. Wengi huona matunda (matokeo) ila ngoma ipo kwenye mizizi (Chanzo). What shall it profit a man if he gain the whole world and lose his soul?.
Acha ushamba wewe hiyo Mercedes Maybach ambayo kwa Marekani wanamiliki wasanii wadogo tu kama D Aye ndio inakutoa roho namna hiyo na kutoa kashfa ambazo huna uhakika nazo!?? Mindset ya muafrica imekaa kichawi chawi sana yaan hata aelimike uchawi upo tu damuni haya ndio matokeo ya Chale walizochanja mababu zetu mwilini mwao DNA za uchawi zinabaki mwilini kwetu tutafanya jitohada kuamini kila kitu kimetokea kwa namna ya kichawi vile..
Davido tangu 2019 anamiliki private Jet ukiachana na magari mengine ya kifahari,bei ya private jet ni mara tano ya hiyo gari ya sasa,je na hapa alimtoa kafara nani?! Babu yako!?,shangazi yako!? Acheni kuwa na roho za kichawi mtafanikiwa sana maishani
 
Mzee wa tandale anasema Hakuna mwanamuziki anamzidi hela Afrika. Itakuwa ndoto zake za Mchana hazijaisha, kwani hata bilioni,20 anafikisha.

Peter Okoye, Mr.P ana uwekezaji kwenye Aphro wine upande wa west africa, na anamiliki ZoomBet kwa ufupi sana anakaribia $100 million networth
IMG_1430.jpg

IMG_1429.jpg

Kuongelea wasanii wa nigeria kazi zao zinawalipa, maana wanafaida ya globe market kuliko wasanii wa Tanzania ndio maana msanii wa nigeria ikitoboa single moja anafanya tour zenye mafanikio karibu dunia nzima, leo Bongo huwezi linganisha kipato cha burnaboy na artist yeyote wewe unaemjua bado muziki wetu haujapenya kidunia ndio tatizo kubwa
 
dey call me cristiano mr ronaldo weeee [emoji445][emoji445][emoji445] [emoji1787][emoji23] reymage umetisha sanaa [emoji91]
Mr Ronaldo....!!

Ominitendooo!!!
I don wanna be a player ni moreee....

Hahahahah...huyu no msanii wangu pendwa sana Davido nyimbo zake lazima nizijue

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mtu kwao wana utajiri wa dollar karibu billion moja, halafu kajamba nani ambae ni maskini unataka kujifanya unaleta ushauri wakati kwenu hata panadol ni tatizo ukoo mzima,
Umevunja mbavu ukoo mzima no panadol.
 
Umeshawahi kumuona mtoto wa Bilgert and the like wakiwa na show off za aina hiyoo.

Ndio maana ya black mind aliyoizungumza.

NB: Mtafuta pesa hapangiwi jinsi ya kutumia
Hao wa bilgate sio super starz tofauti maisha ya superstarz na utajiri binafsi.Mimi sijaona tatizo hapo.Huwezi jua kule naija anashindana na nani.
 
Me huku bongo tayari nimeshachagua ngoma tano tu za kupiga kwenye ndinga yangu mpya. [emoji57][emoji57]
1. Mabantu shemeji mrudie mwana.
2. Mondi yatapita
3. Real Jofu nimetoka
4. Mabantu no love no stress
5. Roma ft Abdul nipeni maua yangu
Sasa hapa bado kilichobaki kununua ndiga tu![emoji22][emoji22]
Nitakupa matairi manne halafu utamalizia vifaa vilivyobaki kupata gari kamili

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom