Siku moja alikuwa anahojiwa na kina Charlamagne tha God akawaambia waende Lagos hakuna gari ipo marekan haipo nigeria, kwahiyo nikajua its more of a lifestyle kuliko watu wanavyofikiria, and Davido ni INTERNATIONAL ARTIST... MAMBO YAKUFLEX NA MAVITU OG NI LAZIMA KAMA ANATAKA KUENDELEA KUWA RELEVANT... Me nalendaga saa basi kuna siku nlimwona Jay Z amevaa saa kwenda kuichek ni one on one watch na bei ni dolla million 5 aisee kama huna hela utaona kama ni anasa, lakin kumbe sio
Lagos wana club ziko expensive hadi walaji bata kutoka ulaya na amerika hua wanapaogopa sana na zinakua na huduma zote masaa 24, mfano Quilox na cubana, na kila kitu unakiona ulaya wao wanacho pale na nigerians wanapenda kurudi kujenga kwao, yaani hata wale nigerians wenye maduka kariakoo hawezi kujenga bongo kabla ya kwao haiwezekani