Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Davido kwao matajiri, wala hutakiwi kujifanya unashauri lolote maana kati ya familia 20 tajiri nigeria na familia ya akina davido imo, wale ni dollar billionaires, amezaliwa anakuta visima vya mafuta, viwanda, mabenki, vyuo vyote vipo hatumii pesa kwa showoff bali anatumia zilizopo kwao tayari na kwa bongo wasanii wenye pesa kumshinda hawapo na hawajatokea na hawatotokea,
Sure
 
Sorry kwa mapichamapicha nilikua najaribu kuweka mambo sawa ya wale waliokua wanasema black mind na ujinga ujinga wao, kujifanya wanajua uchumi kuliko wanaomiliki huo uchumi wenyewe, Davido na familia yake ni next level hawapo level zetu so tuendelee kuburudika na nyimbo zake bila makasiriko, 30 billion naira for the account, money follows you na blah blah kibao
 
Davido kwao matajiri, wala hutakiwi kujifanya unashauri lolote maana kati ya familia 20 tajiri nigeria na familia ya akina davido imo, wale ni dollar billionaires, amezaliwa anakuta visima vya mafuta, viwanda, mabenki, vyuo vyote vipo hatumii pesa kwa showoff bali anatumia zilizopo kwao tayari na kwa bongo wasanii wenye pesa kumshinda hawapo na hawajatokea na hawatotokea,

Unalipwa kufuatilia maisha ya mtu hivi au you just have lots of time in your hand?
 
music industry, hasa progress za wasanii wa west, asia, egypt, America,congo na europe kuanzia wa hiphop, carribean, country, rnb, pop, anzia vizazi vya akina jim reeves, ken rodgers, Ray price, hank williums, dolly parton na hadi vizazi vya sasa au vile vya rhumba vya akina franco, madilu, tabuley, tshala muana, zaiko Langa langa, mbilia bel, simaro lutumba, mose fan fan na hadi leo akina fally au ferre na innos binafsi nawafuatilia kuanzia kazi zao, maisha yao na mengine mengi, na hua nafahamu nani alipiga paris akajaza na nani hakujaza, nani alifanya tour yenye mafanikio mabara mbalimbali au nani Alibuma, hivo kama unajifunza jifunze, ukikereka dogo pita kushoto
 
IMG_1413.jpg

Wananchiiiiiii na mwakilishi wao
 
Hongera. I barely recognize those names.
 
Davido kwao matajiri, wala hutakiwi kujifanya unashauri lolote maana kati ya familia 20 tajiri nigeria na familia ya akina davido imo, wale ni dollar billionaires, amezaliwa anakuta visima vya mafuta, viwanda, mabenki, vyuo vyote vipo hatumii pesa kwa showoff bali anatumia zilizopo kwao tayari na kwa bongo wasanii wenye pesa kumshinda hawapo na hawajatokea na hawatotokea,

Umeshawahi kumuona mtoto wa Bilgert and the like wakiwa na show off za aina hiyoo.

Ndio maana ya black mind aliyoizungumza.

NB: Mtafuta pesa hapangiwi jinsi ya kutumia
 
Mkuu,Davido ni msanii na wasanii show off ni moja ya njia yakujibrand,kuna tofauti ya tajiri msanii na mtoto wa tajiri kama huyo uliyesema mtoto wa Billget
 
Back
Top Bottom