definition
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 972
- 1,584
Alijua Chibu atachukua kimwajuma kingine akafanye drama, bahati mbaya kaenda kwa chombolidondo hamna hata pa kumuanzia :A S crown-2:Wema alimuacha Chibu na aliitambia ma wiki hata kabla hajamwambia anamuacha, sababu wengi walijua ndio mpango. Shida ni alipompata aliyemuzidi kwa maili nyingi akajaribu kucheza lile dana dana la kwa Penny akashindwa.
Ila kumtukania hadi mama yake na ndugu ameenda mbali sana, anachofanya shosti wake mbwa yeye anapitisha.
Alijua Chibu atachukua kimwajuma kingine akafanye drama, bahati mbaya kaenda kwa chombolidondo hamna hata pa kumuanzia :A S crown-2:
Alijua Chibu atachukua kimwajuma kingine akafanye drama, bahati mbaya kaenda kwa chombolidondo hamna hata pa kumuanzia :A S crown-2:
Mwanzoni akaanza kudandia dandia kwa zari ku comment nice couple akachuniwa akasarenda tuYaani hapo ndio alimmaliza maana nakumbuka kuona Zari anarudha picha kakutana na Diamond kwenye ndege siku hiyo, wee wengi mbona tulijaa furaha na kuombea watoke maana tulijua wako single na ikawa tulijua lazima wema atakoma na imekuwa.
Who iz thee boss anawashushia point zake huko insta ndio nasoma
Hivo viingereza sasa unacheka hadi mbavu znauma....nlichogundua hawa wanajiitaga team maskini ni vitoto afu hakuna skonga kabisaIla wanatia aibu huko kwa wanaija insta, wachache hao wanatufanya kama wa Tanzania hatujielewi. Wivu mbaya sana jamani
Hii ni Baada ya washabiki Wa mwanamuziki Diamond Platnumz kusambaza uongo kwamba msaanii Wa Nigeria Davido hajapendezwa na mchango Wa kura kutoka Tanzania.
Pia msanii huyu ameonesha mapenzi kwa Tanzania kwa kuposti bendera ya Tz na kuweka ishara ya upendo.
Mimi ninashauri kila mtu afanye kile akipendacho. Kama unaona moyo wako unakutuma kumuunga mkono Diamond Fanya hivyo. Na kama unaona Davido ndio anakufaa Fanya hivyo.
Si vyema kupangiana maisha chini ya mwavuli Wa uzalendo.
Ila wanatia aibu huko kwa wanaija insta, wachache hao wanatufanya kama wa Tanzania hatujielewi. Wivu mbaya sana jamani
Hivo viingereza sasa unacheka hadi mbavu znauma....nlichogundua hawa wanajiitaga team maskini ni vitoto afu hakuna skonga kabisa
Don't compare people....they will never be the same!! Yemi is yemi and davido is Davido.Yemi alade atambua mchango wa wakenya wamtoa nduki c km mbululaz wa Tanzania
hadi wakenya wanatudharau View attachment 262065
Eshy M so Kenya ndio kipimo cha perfection??
Don't compare people....they will never be the same!! Yemi is yemi and davido is Davido.
Hivi wenyewe wanachotaka ni nini? Wema najua bado anamzimia Chibu tatizo lake ni wivu sasa awa wajinga wanategemea nini kwa ujinga wanaofanya? Yani hii ni zaidi ya aibu nafikiri ata wanaija wanashangaa ila mwisho wa siku wanampromoti Diamond coz ataesikika ni D.