Davido atambua mchango wa Tanzania

Davido atambua mchango wa Tanzania

Wema alimuacha Chibu na aliitambia ma wiki hata kabla hajamwambia anamuacha, sababu wengi walijua ndio mpango. Shida ni alipompata aliyemuzidi kwa maili nyingi akajaribu kucheza lile dana dana la kwa Penny akashindwa.

Ila kumtukania hadi mama yake na ndugu ameenda mbali sana, anachofanya shosti wake mbwa yeye anapitisha.
Alijua Chibu atachukua kimwajuma kingine akafanye drama, bahati mbaya kaenda kwa chombolidondo hamna hata pa kumuanzia :A S crown-2:
 
Alijua Chibu atachukua kimwajuma kingine akafanye drama, bahati mbaya kaenda kwa chombolidondo hamna hata pa kumuanzia :A S crown-2:

Yaani hapo ndio alimmaliza maana nakumbuka kuona Zari anarudha picha kakutana na Diamond kwenye ndege siku hiyo, wee wengi mbona tulijaa furaha na kuombea watoke maana tulijua wako single na ikawa tulijua lazima wema atakoma na imekuwa.

Who iz thee boss anawashushia point zake huko insta ndio nasoma
 
Mwanzoni akaanza kudandia dandia kwa zari ku comment nice couple akachuniwa akasarenda tu
nmemsoma who is the boss nmcheka anatoa kichambo kwa dougie eti sura ya dougie inajaa kwenye picha kama anaagwa msibani (maiti) yan nmecheka
 
Hii ni Baada ya washabiki Wa mwanamuziki Diamond Platnumz kusambaza uongo kwamba msaanii Wa Nigeria Davido hajapendezwa na mchango Wa kura kutoka Tanzania.

Pia msanii huyu ameonesha mapenzi kwa Tanzania kwa kuposti bendera ya Tz na kuweka ishara ya upendo.

Mimi ninashauri kila mtu afanye kile akipendacho. Kama unaona moyo wako unakutuma kumuunga mkono Diamond Fanya hivyo. Na kama unaona Davido ndio anakufaa Fanya hivyo.

Si vyema kupangiana maisha chini ya mwavuli Wa uzalendo.

Yemi alade atambua mchango wa wakenya wamtoa nduki c km mbululaz wa Tanzania
 
Attachments

  • 1434811988125.jpg
    1434811988125.jpg
    24.8 KB · Views: 679
Ila wanatia aibu huko kwa wanaija insta, wachache hao wanatufanya kama wa Tanzania hatujielewi. Wivu mbaya sana jamani

Hivi wenyewe wanachotaka ni nini? Wema najua bado anamzimia Chibu tatizo lake ni wivu sasa awa wajinga wanategemea nini kwa ujinga wanaofanya? Yani hii ni zaidi ya aibu nafikiri ata wanaija wanashangaa ila mwisho wa siku wanampromoti Diamond coz ataesikika ni D.
 
Hivo viingereza sasa unacheka hadi mbavu znauma....nlichogundua hawa wanajiitaga team maskini ni vitoto afu hakuna skonga kabisa

Yaani na mie nimeona, cha hao mabosi wakutukana wa wema sasa uwiiii si waandike kiswahili tu kama akina sie wajivunie lugha yao aaaagggh

Ila mie bado nakaza buti kuna yule mwanamke mwarabu pia kamepiga piga picha na wema hadi Mwanza anahusika sana na udogi pia.
 
Mmh!nilijuaga masiala dimondi kukosa kili award na huku pia mtv mmehamia?dimond kazi unayo kweli kweli...wabongo nouma sana mnataka kummista NICE mwenzenu..
 
Hivi wenyewe wanachotaka ni nini? Wema najua bado anamzimia Chibu tatizo lake ni wivu sasa awa wajinga wanategemea nini kwa ujinga wanaofanya? Yani hii ni zaidi ya aibu nafikiri ata wanaija wanashangaa ila mwisho wa siku wanampromoti Diamond coz ataesikika ni D.

Tatizo ni wema alipomuacha walizani hapai eti Diamond anamuibia nyota na sasa hakushuka as walitarajia hivyo na hakuchukua demu asiyejitambua etc, sasa Zari amewamaliza na anapaaa na hawakusikia maneno yote waliojaribu kuwaachanisha.

Ukikumbuka kwenye fiesta w alitokea pia ktk kideo cha uking cha kiba alikuwa anajaribu kujionea nyota yake kwa kumdharau Chibu.

Ameshindwa pia kumchezesha danadana za enzi za Penny. Kijana kajitambua chezea kukukatana na mtu anayejielewa. Pia ukiangalia mgmt ya Chibu inakuwa around Zari zaidi sana, sikumbuki kuwaona na w pichani.

Chibu ndio kwanza huyooo ana furaha sana sasa na inaonyesha, w anaikumbuka nani hiii yake alizani za mababu zitashamiri kumbe pyuuuuuuu.

Fans wampendao kiba na wanao muonea wivu Diamond nao hao wamedandia kuwashwa pia kwa w na wivu wao hapandi. Ila labda wengine nao wana wish Diamond atoke nao wakaishi nae state house...kumbe nyota anayo na mali hawakuzijuaga haya chezea mtoto wa Tandale anawamaliza kwa kuzidi kuvuta pesa. Wanasahau ni bidii yake Mungu ulipa hapa hapa duniani.
 
Back
Top Bottom