Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
-
- #41
mkatae mkubali huo ni ufoolish..
We should learn from Kenyan's don't u get something hapo
I rather learn from Nigerians who are far better than Kenyans
mkatae mkubali huo ni ufoolish..
huyo alopostiwa na who is the boss ndio dougie kweli?Yaani na mie nimeona, cha hao mabosi wakutukana wa wema sasa uwiiii si waandike kiswahili tu kama akina sie wajivunie lugha yao aaaagggh
Ila mie bado nakaza buti kuna yule mwanamke mwarabu pia kamepiga piga picha na wema hadi Mwanza anahusika sana na udogi pia.
Eshy mushi kama nakuwa foolish KwaZulu kuexpress my love kwa yule ninayemfeel well and good. Lazima mheshimu maamuzi ya wenzenu hata kama yanawaumiza. Kwanini watanzania hampendi utofauti?? Bila kutofautiana hakuna maendeleo na jamii isiyo na tofauti haijawahi kutokea (as per Carl max). Huoni sasa dai anajitahidi coz anajua kuna wapinzani, kiba nae the same....kutofautiana ni kawaida
all is well, diamond apate tuzo au asipate but he is still the best... na siku akifa ndo mtajua mchango wake kwenye bongo flavor..
But Kenyan's are better than Tanzania's😱
My dear ni mchango kwa familia yake sio kwangu. Kama kufa alikufa nyerere ambaye aliasisi taifa na bado tunaishi itakuwa diamond mchafuzi?
Mmmhhh... only in TZ! I wish to see the end of this. Let me get ma popcorn and savannah
But Kenyan's are better than Tanzania's😱
Tanzania tutabaki kuwa kichwa cha mwendawazimu tusipoangalia mambo mengine. Uzalendo ni kitu muhmu sana
huyo alopostiwa na who is the boss ndio dougie kweli?
Hahahaha mmeanza kuomba poooo!
Hivi ikatokea let say Diamond akabeba hizo tuzo za MTv base hawa watanzania team ushuzi watajificha wapi?
Hivi ikatokea let say Diamond akabeba hizo tuzo za MTv base hawa watanzania team ushuzi watajificha wapi?
Wewe unaona ni mashindano haya au upuuzi uliopitiliza. Mimi siku zote uwa nasema Kiba hana mashabiki ila ana haters wa Diamond inabidi amuheshimu sana Dai. Ona sasa leo wamekuwa mashabiki wa Davido. Tafuteni maisha amshangai kwa nini supporters wakubwa wa Dai ni watu na maisha yao.
Huyo alishasemwagwa zamani wakakana sana sana na ilikuwa lemutuz kama kawa alikazania na wakamtukana sana kujibu. Ila dogi wa sasa anajua anajulikana tayari.
Mie nakumbuka enzi namsomaga alisemaga kitu ...yeye mwarabu wa singida/sinyanga sijui nini...
Wakati wema anaenda mwz few wks ago, kuna mtu akacomment asubuhi yake mahala sikumbuki wapi kuwa wema anaenda mwz na dogi.
Ok later picha kwa wema na wengine waliposti only acc ya janety ikatoa picha zenye mwarabu wema hakurusha hizo kabisa hata wanaedai ni janety...sijui kama janety bado anazo...kwa idris aliwarusha wema na wengine pia.
Wanaodai ni janety wanaomrusha kila kona hii picha walipiga bday ya wema
View attachment 262079
Hizi za walipoenda mwz early May.
View attachment 262080
View attachment 262086
Hawa wawili hawa chini mmmhhhh
View attachment 262081
Na idriss
View attachment 262084
Picha toka instagram public acc